denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,950
Mpaka sasa hakuna aliyeniwekea rejea ya kamusi ya Kiswahili yenye neno "onesha" na isiyo na neno "onyesha".
Nashangaa kwa nini!?!
"isiyo na hisiyo" hapa utajua wewe lipi sahihi na Kamusi zako za TUGHE no sorry i mean TUKI. Mkuu hoja hapa siyo tu kurundika kamusi humu, ila mara nyingi neno uumbwa na mizizi mkuu, na umekwisha hainishiwa hapo juu mzizi mkuu wa kila neno ambao huleta mana halisi na chimbuko la neno husika.