nini tofauti ya haya maneno!

nini tofauti ya haya maneno!

Mpaka sasa hakuna aliyeniwekea rejea ya kamusi ya Kiswahili yenye neno "onesha" na isiyo na neno "onyesha".

Nashangaa kwa nini!?!

"isiyo na hisiyo" hapa utajua wewe lipi sahihi na Kamusi zako za TUGHE no sorry i mean TUKI. Mkuu hoja hapa siyo tu kurundika kamusi humu, ila mara nyingi neno uumbwa na mizizi mkuu, na umekwisha hainishiwa hapo juu mzizi mkuu wa kila neno ambao huleta mana halisi na chimbuko la neno husika.
 
"isiyo na hisiyo" hapa utajua wewe lipi sahihi na Kamusi zako za TUGHE no sorry i mean TUKI. Mkuu hoja hapa siyo tu kurundika kamusi humu, ila mara nyingi neno uumbwa na mizizi mkuu, na umekwisha hainishiwa hapo juu mzizi mkuu wa kila neno ambao huleta mana halisi na chimbuko la neno husika.

Kamusi ni muongozo mzuri sana katika kujua maana, matumizi, mizizi, na vyanzo vya maneno kwa sababu ni vitabu ambavyo huwa havitungwi na mtu tu.

Hutungwa na wataalamu wa lugha husika kwa kufanya utafiti wa kina kwa malengo ya kuelimisha jamii. Wewe kupuuza hiyo unayodai si hoja inaonyesha ya kwamba unaandika tu labda kwa kutumia mazoea na si kwa kutumia muongozo wa mamlaka yoyote ile ikubalikayo.

Sasa acha bwabwaja, niwekee kamusi yenye na isiyo na maneno hayo. Kama huna basi sema huna. Mimi siyo tu nimerejea kamusi za Kiswahili sanifu, nimetoa hadi ukurasa wa BAKITA ambao nao wametumia neno 'onyesha' katika moja ya kurasa zao.

Wewe mamlaka yako ipi?
 
Sasa wewe unaoneshwa maana lkn bado unapinga au mpaka uonyeshwe kwa nguvu!! Aaaahh!
 
Hakuna aliyeonyesha mamlaka rasmi yenye neno "onesha" na isiyo na neno "onyesha".
 
huwa nashindwa kabisa ni namna gani na mahali gani kuyatumia maneno haya, "ONYESHA" na "ONESHA" kwani huwa yanawachanganya sana watu. Mfano mtu anasema "Juma ametuonesha mpira na mwingine anasema Juma ametuonyesha mpira" sasa hapo nani yuko sahihi?
Kwenye kiswahili sanifu hakuna neno 'onesha', neno sahihi ni onyesha.
 
usihadaike na hilo jiamini, zinakosolewa Pinalcode za kisheria itakuwa hizo kamusi , Mzizi wa Neno ni Ona sio Onya, ona inazaa Onesha na Onya inazaa Onyesha!

Mkuu haya maneno matatu (ona, onya na onyesha) hata hayana uhusiano kabisa, hilo la nne huwa nalisikia tu kwa watu, na na ukiangalia kwa makini hakuna neno lililonyumbuliwa kupata neno lingine, kila neno linajitegemea.
 
Back
Top Bottom