Mpaka sasa hakuna aliyeniwekea rejea ya kamusi ya Kiswahili yenye neno "onesha" na isiyo na neno "onyesha".
Nashangaa kwa nini!?!
"isiyo na hisiyo" hapa utajua wewe lipi sahihi na Kamusi zako za TUGHE no sorry i mean TUKI. Mkuu hoja hapa siyo tu kurundika kamusi humu, ila mara nyingi neno uumbwa na mizizi mkuu, na umekwisha hainishiwa hapo juu mzizi mkuu wa kila neno ambao huleta mana halisi na chimbuko la neno husika.
Kwenye kiswahili sanifu hakuna neno 'onesha', neno sahihi ni onyesha.huwa nashindwa kabisa ni namna gani na mahali gani kuyatumia maneno haya, "ONYESHA" na "ONESHA" kwani huwa yanawachanganya sana watu. Mfano mtu anasema "Juma ametuonesha mpira na mwingine anasema Juma ametuonyesha mpira" sasa hapo nani yuko sahihi?
usihadaike na hilo jiamini, zinakosolewa Pinalcode za kisheria itakuwa hizo kamusi , Mzizi wa Neno ni Ona sio Onya, ona inazaa Onesha na Onya inazaa Onyesha!