mashakaDaima
Member
- May 3, 2013
- 38
- 5
huwa nashindwa kabisa ni namna gani na mahali gani kuyatumia maneno haya, "ONYESHA" na "ONESHA" kwani huwa yanawachanganya sana watu. Mfano mtu anasema "Juma ametuonesha mpira na mwingine anasema Juma ametuonyesha mpira" sasa hapo nani yuko sahihi?