Nini tofauti ya Kiswahili cha Tanzania na Spanish?

Kingerezi Ni kirahisi Nilikuwa fluent nikiwa Form two kuna wazungu nilikuwa naishi nao community moja "Angelica sisters" miaka ile

sasa nataka kumaster "Romance languages"
Hiyo fluent ya form two ilikuwaje mzee kwamba uliweza kuongea na tone kama ya Native speaker?
 
Kingerezi Ni kirahisi Nilikuwa fluent nikiwa Form two kuna wazungu nilikuwa naishi nao community moja "Angelica sisters" miaka ile

sasa nataka kumaster "Romance languages"
Tafuta app utajifunza kwa haraka zaidi
 
App gani ya kujifunza kiingereza fluent

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe ni intermediate unatafuta fluency ya kuongea ingia playstore au appstore search English conversation,app zake zipo nyingi mno unachagua unayohitaji...Waongeaji wa humo ni natives kabisa kama Waingereza na Wamarekani....Kabla ya kudownload angalia reviews kama watu wanaikubali hiyo app na kuipa angalau 4 au 5 stars kabisa. Mimi nilijifunzia huko na nilipofikia si haba.
 
Haha unakosa nn boss,majibu au?
Yaani imekaa kama game hivi halafu kuna vocabularies zinanishinda

Mfano : i want to buy a t-shirt
Spanish : yo quiero comprar una camiseta
Hizo vowel zinanichanganya mno

Mfano mwingine
A difficult exam
In Spanish un examen difícil
 
Uje unifundishe siku slangs
 
Yaani imekaa kama game hivi halafu kuna vocabularies zinanishinda

Mfano : i want to buy a t-shirt
Spanish : yo quiero comprar una camiseta
Hizo vowel zinanichanganya mno

Mfano mwingine
A difficult exam
In Spanish un examen difícil
Ungepitia na zile articles zao boss...ila Mimi nshasema English ni tosha kwangu, ntakitumia hicho hicho sehemu n'nazoenda..Na sehemu hizo ninazoenda kiingereza ndo lugha yao kuu..,sioni hata haja ya lugha nyingine.
 
Nitajaribu kupitia nione kama nitaelewa
You are right , English ndo kila kitu
Usiniite bosi yaani wakati sna kitu 😀
 
Back
Top Bottom