Nini tofauti ya Kiswahili cha Tanzania na Spanish?

Nini tofauti ya Kiswahili cha Tanzania na Spanish?

Kama wewe ni intermediate unatafuta fluency ya kuongea ingia playstore au appstore search English conversation,app zake zipo nyingi mno unachagua unayohitaji...Waongeaji wa humo ni natives kabisa kama Waingereza na Wamarekani....Kabla ya kudownload angalia reviews kama watu wanaikubali hiyo app na kuipa angalau 4 au 5 stars kabisa. Mimi nilijifunzia huko na nilipofikia si haba.
Shukrani sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi JF imekua world wide, kuna yule Bakari China, mchina wa jamii forum. Na sasa kuna wewe unayewakilisha waspanyola.I

Can you teach me espanola? If you don't mind.
Kwa walichomfanyia wana jf sidhani kama atarudi tena.
 
Kingereza tuu kinatusumbua mnatuongezea na mengine hivi hamjui jiwe ndiye baba yetu
 
Back
Top Bottom