Rsm0087
JF-Expert Member
- Jul 12, 2019
- 361
- 893
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaanzaje kuzingatia namba ya petrol kama za oil?? maana petrol inakuishia popote safarini unaangalia kituo kilichokaribbu naweMafuta yaliyochanganywa na lead kwasasa hayapo kabisa sokoni, baada ya lead kupigwa marufuku hapo kitambo. Ni vile tu jina la "unleaded" lilikua limezoeleka ndio maana kampuni nyingi hazikuliondoa na linaendelea kutumika, hivyo basi usiwe na mashaka kabisa petrol zote ni unleaded
Kuhusu namba za mafuta hizo zinaelezea mchanganyiko mpya ulioreplace lead, ntaelezea baadaye. Ila tu ni kwamba kila engine ina specific number ya mafuta hayo, nadhani ipo juu kwenye mfuniko wa tenki. Ukizingatia hiyo namba utaenjoy sana perfomance na efficiency ya injini yako, ila unapoignore haiharibu injini bali inashusha hivyo vitu na life span yake
Kwel kaka, pagumu hapoooUnaanzaje kuzingatia namba ya petrol kama za oil?? maana peptrol inakuishia popote safarini unaangalia kituo kilichokaribbu nawe
Tatizo ni uaminifu tuJamani nataka niseme jambo moja, juzi nmeweka mafuta mbagala pale waliandika SUPER nikasema hii super si ndo wanasem mazur (nikajisemea komoyo moyo), baada ya kuweka nikaenda nilipoenda nikapaki ilikuwa sio mabli ni kama nusu KM tu, nikapaki, nikaja kuiwasha kesho yake nikaanza safari, ila niliona gari ikiwa tofaut sana...
Jamani nataka niseme jambo moja, juzi nmeweka mafuta mbagala pale waliandika SUPER nikasema hii super si ndo wanasem mazur (nikajisemea komoyo moyo), baada ya kuweka nikaenda nilipoenda nikapaki ilikuwa sio mabli ni kama nusu KM tu...
Kuna baadhi ya kampuni ni waaminifuKwa Tanzania tofauti kati ya unleaded, petrol au super ni majina tu ila mafuta ni yale yale, ukiona wameandika super sio kwamba ndo mazuri ila wameandika ili kuvutia wateja tu. Petrol station zote wananunua mafuta sehemu moja na bei ya kuuza wanapangiwa ila wengine wanaamua kuyaita unleaded wengine super au petrol ila hakuna tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile rangi inayowekwa kwenye petrol haina kichanganyishi chochote ni rangi tu wanaweka ili kutofautisha petrol na diesel au mafuta ya taa. Tena rangi yenyewe wanaweka kidogo sana vijiko viwili vya chai unaweza kuweka kwenye tank la lita 31,000 na rangi ikabadilika.. kusema kuna kampuni flani ndo wana mafuta mazuri kuliko wengine hilo sio kweli labda useme kuna baadhi ya sheli wana matank machafu ndo maana mafuta yao yanaonekana hayana uboraKuna baadhi ya kampuni ni waaminifu
Kuhusu mafuta kuja kwa bulky ni kweli, lakini baada ya hapo kila kampuni inatia vichanganyishi vyake tofauti, ndio maana unaona rangi za mafuta zinatofautiana kwa makampuni,
Hivi hii excelium inasafisha / kuimarisha kweli engine kilometer baada ya kilometer kama wanavyodai wenyewe hawa Total?Sina uhakika sana Kama Kuna petrol yenye lead kwa sasa , Mana kampuni nyingi zilikuja na additives ambazo ni salama zaidi, kwa mfano Total wana kitu kinaitwa excelium .
Neno super lilikuwa linamaanisaha leaded petrol, na ilikuwa ina rangi nyekundu, unleaded ilikuwa in rangi ya kijani, sijajua Kama neno super bado linamaanisha leaded petrol kwa sasa ama labda linamaanisha kitu kingine.
Sent
Kibongobongo tunataka wese la Bei rahisi hayo mengineyo mnajua nyie wasomiUnleaded ndio best, the. Super, hayo leaded sio mazuri na bei ndogo. Mara nyingi utaona wanaandika Petrol tu.
Baadhi ya magari yapo sensitive kiasi kwamba yanataka unleaded tu.
Hapo kuna mambo mengi mbali na uwepi wa lead (pb) kuna mambo ya namba za octane etc.
Ile rangi inayowekwa kwenye petrol haina kichanganyishi chochote ni rangi tu wanaweka ili kutofautisha petrol na diesel au mafuta ya taa. Tena rangi yenyewe wanaweka kidogo sana vijiko viwili vya chai unaweza kuweka kwenye tank la lita 31,000 na rangi ikabadilika.. kusema kuna kampuni flani ndo wana mafuta mazuri kuliko wengine hilo sio kweli labda useme kuna baadhi ya sheli wana matank machafu ndo maana mafuta yao yanaonekana hayana ubora
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu takwimu zinazotolewa na serikali zikionesha kampuni fulani ina mafuta bora kuliko nyingine.Ile rangi inayowekwa kwenye petrol haina kichanganyishi chochote ni rangi tu wanaweka ili kutofautisha petrol na diesel au mafuta ya taa. Tena rangi yenyewe wanaweka kidogo sana vijiko viwili vya chai unaweza kuweka kwenye tank la lita 31,000 na rangi ikabadilika.. kusema kuna kampuni flani ndo wana mafuta mazuri kuliko wengine hilo sio kweli labda useme kuna baadhi ya sheli wana matank machafu ndo maana mafuta yao yanaonekana hayana ubora
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu takwimu zinazotolewa na serikali zikionesha kampuni fulani ina mafuta bora kuliko nyingine.
The guy is back
Watu wengi wanasema Puma,Total na Engen ndiyo wana mafuta yenye ubora...Msamehe bure, mara tank chafu mara hivi, ye ajue tu sio kila petrol station ni ya kununua mafuta.Kwa wamiliki wa magari mazuri na wanaopenda magari yao wanajua ila kama mtu anaendesha guta anaweka mafuta tu popote! Kuna gari ambazo ukiweka mafuta ya hovyo hata kuwaka haiondoki!
Msamehe bure, mara tank chafu mara hivi, ye ajue tu sio kila petrol station ni ya kununua mafuta.Kwa wamiliki wa magari mazuri na wanaopenda magari yao wanajua ila kama mtu anaendesha guta anaweka mafuta tu popote! Kuna gari ambazo ukiweka mafuta ya hovyo hata kuwaka haiondoki!
Ina maana huwa hawakaguliwi au wanachakachua wakifikisha kituo cha mafutaKweli mkuu....hili jambo la mafuta ni la kuzingatia mno,Leo asbhi nimeweka mafuta kwenye hizi petro station uchwara baada ya KM kadhaa tu gari inawasha taa ya check engine then kwenda kwa fundi kuifanyia diagnosis tatizo likaonekan ni mafuta niliyoweka