Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Me naona huko mafuta yanapochukuliwa yanakuwa yana hali moja..(ubora)Ina maana huwa hawakaguliwi au wanachakachua wakifikisha kituo cha mafuta
Nahisi wakishafika vituoni ndiyo kila mtu anaongeza mambo anayoyajua yeye...
Yaani bongo taabu sana