Nini TOFAUTI ya njugu na njugu mawe?

Nini TOFAUTI ya njugu na njugu mawe?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nazozijua Mimi ni njugu ndo nimezizoea ila mtandaoni naona Tena Kuna kitu kinaitwa njugu mawe na kwa English ni almonds wakati njugu zenyewe za kawaida kwa English zinasomeka nuts..na Tena eti wakadai hata karanga ni aina ya njugu.hii imekaaje watalaam naona kama sielewi.
 
Njugu ni njugu
Na njugu mawe ni njugu mawe
Usichanganyikiwe kijana

Swali lingine please
 
images (12).jpeg
images (11).jpeg
Njugumawe ni chakula,... Njugu kama njugu ni NJUGU
 
Nazozijua Mimi ni njugu ndo nimezizoea ila mtandaoni naona Tena Kuna kitu kinaitwa njugu mawe na kwa English ni almonds wakati njugu zenyewe za kawaida kwa English zinasomeka nuts..na Tena eti wakadai hata karanga ni aina ya njugu.hii imekaaje watalaam naona kama sielewi.
Tofauti ni hilo neno mawe
 
Tofauti ipo kwenye uchafuz wa Hali ya hewa. Ukila njugu mawe ushuzi wake unasmbaa eneo kubwa la anga tofaut na njugu.
 
Nazozijua Mimi ni njugu ndo nimezizoea ila mtandaoni naona Tena Kuna kitu kinaitwa njugu mawe na kwa English ni almonds wakati njugu zenyewe za kawaida kwa English zinasomeka nuts..na Tena eti wakadai hata karanga ni aina ya njugu.hii imekaaje watalaam naona kama sielewi.
Njugu ni neno la jumla la Njugu zote, kwa mikoa ya pwani utasikia wanaita karanga pia kama Njugu.

Lozi, karanga, korosho zote hizi ni Njugu.

Pia sidhani kama Njugu mawe ni Almond, Lozi ndio almond. Njugu mawe zipo kama Maharage sema round, kama jina zilivyo ni ngumu sana, huku pwani tunapika na Sukari.

images-5.jpeg
 
Back
Top Bottom