ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nazozijua Mimi ni njugu ndo nimezizoea ila mtandaoni naona Tena Kuna kitu kinaitwa njugu mawe na kwa English ni almonds wakati njugu zenyewe za kawaida kwa English zinasomeka nuts..na Tena eti wakadai hata karanga ni aina ya njugu.hii imekaaje watalaam naona kama sielewi.