Kwenye operation ni mchakato wakuchunguza na kukomesha japo haina utokemezaji wa mojakwamoja kama ni msako watakaojilengesha ndio watakamatwa au kudhibitiwa ila wengine watasaliaHaya maneno yana maana mbali mbali kutegemea na muktadha wa matumizi. Sasa tuache maana zingine zote hebu naomba ufafanuzi wa haya maneno kwenye shughuli za kiusalama (jeshi la polisi, jeshi la magereza, jwtz, tiss, nk)
Mfano utasikia
1.Wamekamatwa vibaka na wazururaji kwenye operation maalumu
2.Amekamilisha mission maalumu ya kuwafuatilia wenye vyeti feki... wametumbuliwa wote!
Mission ni neno pana zaidi ambapo operation inaweza kuwa ndani ya mission. Mfano Our Mission is to eliminate drugs hence we have to run a critical operation for it.Haya maneno yana maana mbali mbali kutegemea na muktadha wa matumizi. Sasa tuache maana zingine zote hebu naomba ufafanuzi wa haya maneno kwenye shughuli za kiusalama (jeshi la polisi, jeshi la magereza, jwtz, tiss, nk)
Mfano utasikia
1.Wamekamatwa vibaka na wazururaji kwenye operation maalumu
2.Amekamilisha mission maalumu ya kuwafuatilia wenye vyeti feki... wametumbuliwa wote!
chunguza TENSES zilizotumika hapo: Operation huhusisah watu/makundi/ majeshi mengi, mfano: operation barras.Mfano utasikia
1.Wamekamatwa vibaka na wazururaji kwenye operation maalumu
2.Amekamilisha mission maalumu ya kuwafuatilia wenye vyeti feki... wametumbuliwa wote!
Operation ni "zoezi" na mission ni "lengo".Haya maneno yana maana mbali mbali kutegemea na muktadha wa matumizi. Sasa tuache maana zingine zote hebu naomba ufafanuzi wa haya maneno kwenye shughuli za kiusalama (jeshi la polisi, jeshi la magereza, jwtz, tiss, nk)
Mfano utasikia
1.Wamekamatwa vibaka na wazururaji kwenye operation maalumu
2.Amekamilisha mission maalumu ya kuwafuatilia wenye vyeti feki... wametumbuliwa wote!
Opeartion huwa ni mpango mkakati wa dharura na ambao ni siri; ya wale wanaohusika na kuifanya operation hiyo wakati mission ni mpango mkakati ulio wazi no usio wa siri na unaweza ukawa ni wa dharura au si wa dharuraHaya maneno yana maana mbali mbali kutegemea na muktadha wa matumizi. Sasa tuache maana zingine zote hebu naomba ufafanuzi wa haya maneno kwenye shughuli za kiusalama (jeshi la polisi, jeshi la magereza, jwtz, tiss, nk)
Mfano utasikia
1.Wamekamatwa vibaka na wazururaji kwenye operation maalumu
2.Amekamilisha mission maalumu ya kuwafuatilia wenye vyeti feki... wametumbuliwa wote!
Hapana; kinyume chake ndiyo sahhi. Operation ndiyo huwa ni siri; mission ziko wazi zinajulikanaOPERATION UNAKUWA NI MKAKATI WA WAZI ILA MISSION UNAKUWA MKAKATI WA SIRI