Dar Es Salaam,
Please, Hivi wewe kweli unafikiria hayo maendeleo unayoyaona kwa watu nyumbani bila ndugu/marafiki zao nje tungefika hapo tulipo..
Trust me mkuu, kila kitu unachokiona madukani, mitaani na kwingineko kuna Mtanzania aliyeko/ anaishi nje anahusika...
Kwani sasa tusirudi CCM na tukipata nafasi tufanye mapinduzi ndani ya CCM ???
Kuna mNigeria alijifanya ameokoka na kukaa na mwanamke wa kizungu kwa zaidi ya miaka mitano. Pale mzungu alipomwani tu jamaa alikusanya pesa zote na kuanza.
TumuombE mwanakijiji arudi CCM na ajitulize tu. Na siku wakimpa nafasi aanze kuleta CHECHE.
Hizi ni picha za jana baada ya mvua kunyesha katikati ya Dar
Kuhani.. unaenda mbali sana utaumia kichwa.
Solution iko hapo hapo kwenye picha na watu wameridhika nayo. Why desire more?
kutembelea au kutotembelea nchi za nje wala sio hoja. if you got "it" then you got "it", if you don't then you don't, hence Ndivyo Tulivyo
Kwani wao watu wa nchi za nje walienda kwenye nchi gani ya nje?
Tatizo kubwa ni kwamba Tanzania bado inatawaliwa na kundi la watu wachache (wala nchi) ama Tanzania ni mali yao. Wananchi wa Tanzania hatukupata uhuru toka kwa Mkoloni bali watu wachache (wala nchi) ndiyo walipata uhuru. Hawa wala nchi wana maisha mazuri ya kupindukia na wanapata kila kitu wakitakacho. Wengine wamefika uwezo wa kununua majumba ya kifahari nje ya Tanzania. Kinachoendelea leo hii ndani ya Tanzania si rahisi kukirekebisha na kitarekebishika basi itachukua muda mrefu sana tokana na hawa wala nchi hawatakubali kamwe mabadiliko kwa manufaa yao binafsi.
Tanzania inapata pesa za kutosha kabisa kujiendesha na kuwa na miundo mbinu bora, elimu bora, matibabu bora nk. Lakini hawa wala nchi wanachukua kila kitu kwa ajili yao na watoto wao hivyo kuiacha nchi katika hali ya kutisha kama mapicha yanavyoonesha.
Wananchi wa Tanzania inabidi tuanze upya kupigania uhuru wetu na kuwaondoa hawa wala nchi wachache ambao wanatumia "utanzania" katika kujenga himaya zao ama inchi nyingine tajiri ndani ya Tanzania. Na mbaya zaidi hawa wala nchi wana waachia watoto wao urithi wa kuendelea kuiba.
Wananchi wa Tanzania hawako uhuru bali ni watumwa ndani ya Tanzania. Uhuru wa kweli tutaupata pale tutakapoweza kugawana mapato ya taifa letu sawa na kuwa na vipaumbele katika malengo ya Taifa letu.
Nimeangalia hii picha nikawaza kitu kimoja: faida za kuishi na kufanya kazi ng'ambo kidogo.
Inaonekana kuna mashangingi ya mabosi hapo nje (labda Director General au Waziri etc.) kwa maana kwamba mkulu nae akitoka jengoni atapita hapo hapo, atapaona vizuri. Nikawaza ningekuwa mimi ndo mkulu hapo ningefanyaje, ningeamrisha watu walambe maji, au ningepiga simu Hazina walete hela za kuzibua mabomba mara moja, na hela zenyewe zipo? Au ningeona haya ni mepesi mepesi sana hayanihusu, after all maji yatakauka by the weekend? What is one to do?
Nikakumbuka ukitana na vi situation vya hazard hazard kama hivi maboxini kuna standard protocol ya cha kufanya. Kwenye majengo mlangoni kuna ka concierge desk wamebandika namba za watu wa kuwa contact kwenye vi situation kama hivi. Moto, polisi, ambulance, mpaka animal control kama kipaka kikipenyeza kikaingia mjengoni. Above all, kuna namba ya maintenance manager wa jengo. You see any hazardous situation you call the fella, anybody can call, even during after hours. If the dude doesn't pick up the phone there is whole list of who to call next and what not. The maintenance guy is supposed to know what to do, has the budget for paying the Joe Plumber who is gonna come unplug the clogged pipes or the city construction crew and what not. I am talking 24-7, 365 days, X-mass day, Independence Day, the guy on call better pick us his damn phone, cause the phone bill is paid for.
Sasa sijui Bongo kuna watu wa maintenance ya jengo?
Au sijui kwa Tanzanian realities mafundi wa kuzibua conduit pipes nao ni utaalam ambao hatuna, au ni mimi niko out of touch? Au sijui hiyo concrete slab hapo (sijui udongo ule) imejengwa bila egress mechanism ku remove rain water pools? Basi kama hatunao hao wahandisi, na hatuna licensing officials wanaojua hivi vitu basi tulifunge lile li chuo pale Ubungo.
Tunakaa tunaimba University of DSM ranked this and that, bullcrap! Hakuna mainjinia wa kukumbuka kujenga vimitaro vya kutoa maji kwenye concrete pavement mpaka wafanyakazi wanatandika ma forklift palette chini?
sisi tumeridhika tangu longtaiiiimu. Tunaruka hatua za maendeleo. Tunaacha wengine wanahangaika, sisi tunabypass steji ya utafiti. kwa mfano tumeruka simu za ndani hadi mobile, mitandao iko richebo (heheee, hivi hapo hatujampiga bao mmarekani?).
Tukimaliza ID, tunampango wa kuweka CCTV uswahilini.
Kwa maoni yangu ID cards ndio za mwisho kuhitajika katika picha zote. Kwanza miundombinu. JF Kennedy alisema ni miundombinu ndio ilijenga amerika na sio amerika ndio iliyojenga miundombinu.
Nadhani hii issiue ya ID cards serikali iliikosea wakati ilipotengeneza vitambulisho vya kupiga kura mwaka 2005. Wakati huo serikali ingeuwa ndege wawili kwa wakati mmoja kwa kutengeneza kitambulisho kimoja kwa shughuli zote mbili, yaani utaifa na kupiga kura. Hapo tungeokoa gharama na kuepukana na skandali zilizojitokeza.
Tatizo ni uongozi pia hatuna vipaumbele,na hatujui nini tunahitaji kama nchi,ila la kusikitisha zaidi ni kwamba,hakuna anayetaka kuwajibika kila mmoja analalamika na kumtupia mwenzake lawama,,,,,we should fighty for our country
Its very shamefull, we are in 2009 and yet we don't know what is our priorities? Please don't tell me.
Aaah...hizi mbona ziko freshi tu.....wala hata hazisononeshi....