Nimeangalia hii picha nikawaza kitu kimoja: faida za kuishi na kufanya kazi ng'ambo kidogo.
Inaonekana kuna mashangingi ya mabosi hapo nje (labda Director General au Waziri etc.) kwa maana kwamba mkulu nae akitoka jengoni atapita hapo hapo, atapaona vizuri. Nikawaza ningekuwa mimi ndo mkulu hapo ningefanyaje, ningeamrisha watu walambe maji, au ningepiga simu Hazina walete hela za kuzibua mabomba mara moja, na hela zenyewe zipo? Au ningeona haya ni mepesi mepesi sana hayanihusu, after all maji yatakauka by the weekend? What is one to do?
Nikakumbuka ukitana na vi situation vya hazard hazard kama hivi maboxini kuna standard protocol ya cha kufanya. Kwenye majengo mlangoni kuna ka concierge desk wamebandika namba za watu wa kuwa contact kwenye vi situation kama hivi. Moto, polisi, ambulance, mpaka animal control kama kipaka kikipenyeza kikaingia mjengoni. Above all, kuna namba ya maintenance manager wa jengo. You see any hazardous situation you call the fella, anybody can call, even during after hours. If the dude doesn't pick up the phone there is whole list of who to call next and what not. The maintenance guy is supposed to know what to do, has the budget for paying the Joe Plumber who is gonna come unplug the clogged pipes or the city construction crew and what not. I am talking 24-7, 365 days, X-mass day, Independence Day, the guy on call better pick us his damn phone, cause the phone bill is paid for.
Sasa sijui Bongo kuna watu wa maintenance ya jengo?
Au sijui kwa Tanzanian realities mafundi wa kuzibua conduit pipes nao ni utaalam ambao hatuna, au ni mimi niko out of touch? Au sijui hiyo concrete slab hapo (sijui udongo ule) imejengwa bila egress mechanism ku remove rain water pools? Basi kama hatunao hao wahandisi, na hatuna licensing officials wanaojua hivi vitu basi tulifunge lile li chuo pale Ubungo.
Tunakaa tunaimba University of DSM ranked this and that, bullcrap! Hakuna mainjinia wa kukumbuka kujenga vimitaro vya kutoa maji kwenye concrete pavement mpaka wafanyakazi wanatandika ma forklift palette chini?