Nini tunahitaji kwanza? - (tazama picha na amua)

...Nini tunahitaji kwanza?

...Ambulance ya kumfikishia mgonjwa hospitalini, au Hospitali yenye uwezo wa kumhudumia huyo Mgonjwa?

...kuna haja gani Ambulance kwenye vumbi hilo wakati na uhakika zahanati/hospitali wilayani hapo hata dakitari ni mbinde kumpata, achilia mbali vifaa, madawa na huduma za uhakika...!

Well huu ndio uhuru tulioupigania 1961 na haya ndio matokeo yake,Who to blame,I don't know you tell me lakini naamini kama tungelikuwa na kiongozi mwenye dira ya kueleweka kutuongoza pamoja na kwamba ilikuwa a little too early naamini tungekuwa mbali na tungejivunia uhuru ule wa mapema.Kwa namna nchi yetu ilivyo sasa tunababaika tunapofikiri ni uhuru wa kujivunia ama wa kuujutia.We still have time folks,YES WE CAN,let's put our heads together and try to better ourselves because no one will do for us.
THINK TWICE.

SAHIBA.
 
Sahiba,
Baada ya kutaifisha mali za watu na kuchukua hivyo viwanda na kwa kiasi kikubwa vimetushinda big time kuviendesha.
Sawa mkuu unaweza kunambia ni mali gani na viwanda vipi vilivyotaiofishwa na tumeshindwa kuviendesha!...
Mkuu nina hakika wewe msomi mzuri na huwezi kulaumu vitu tu8 out of blues kama hujaweza kupima..

Misngi iliyojengwa na Mwalimu miaka ya 60 ilikuwa kulingana na mahitaji ya population iliyokuwepo na long plan ya miaka kama 20..Mbali na kushuka kwa uchumi wetu, Nyerere ameondoka madarakani umeme ukitosha kabisa kote Dar na mikoani, maji, afya - Muhimbili mgonjwa husubiri muda mrefu na wagonjwa wote walikuwa wakilala vitandani.. Nenda hata zahanati ndogo za mnazi mmoja huduma ilikuwa nzuri acha huko nenda Ukerewe madaktari walikuwepo na hapakuwa na shida ya huduma za Afya sio leo hii..Kila kitu ni shida tupu hata kama unayo fedha uzima ni swala la kuomba Mungu..

Haya leo hii population yetu imezidi mara nne tuna mabadiliko ya mfumo wa kiuchumi bado unataka kulaumu msingi uliojengwa wakati ule 1960s to70s wakati wanja ni kubwa tosha kwa kuanzisha msingi mpya..tena basi mali za uzalishaji zote mzee wetu alituachia sisi urithi mkubwa wa madini na gas ambazo hazikuguswa!
Mkuu kama nilivyokwisha sema maendeleo ya Tanzania ni sawa mna Maendeleo ya Kariakoo... wazee wetu walijenga misingi midogo ya nyumba ya vyumba sita na tuliishi vizuri kama familia.. Sasa leo kumetokea mabadiriko Kariakoo imeikuwa mji wa biashara, nyumba zile zinabomolewa lakini mabdo malengo ni yale yale Kujenga nyumba inayoweza kutumiak kwa biashara na makazi..

Tunaona mabadiliko ya haraka sana Kariakoo lakini sio kitaifa.. Hii ina maana hata Kariakoo inaanza kutuacha nje kwa sababu sisi wenyewe tumeshindwa kubomoa misingi ya vibanda vya vyumba sita yaani miundo mbinu ilkiyochoka tukitegemea kwamba somehow tunaweza kubanana hivyo hivyo hadi kieleweke!..
Mkuu tuzungumze hapa kama wasomi na sio washabiki kutafuta mchawi nje ya wachezaji wenyewe kuwa refa kapendelea! kwani kunyoosha vidole kwa yaliyopita na kutumia lugha za TUNGE kuwa hivi ama vile haiwezi kusaidia kitu..uchumi wa Tanzania ni mimba pevu hivyo huwezi kuepuka na kusingizia nani alianza kumtongoza mwingine!..Hii ni mwanzo wa kukimbia responsibility!... na bahati nzuri sisi Wadanganyika ni wazuri sana kwa kutafuta mchawi!... NDIVYO TULIVYO!
 
Ndugu Mkandara
I am starting by telling you this,We can only move forward if we agree on what went wrong.Tumekwama tulipokwama kwa sababu hatujui tulikosea wapi hivyo tunaendeleza old failed politics.Scandals zinazofanana miaka nenda miaka rudi.viongozi wetu wanafanya ufisadi kisha wanapumzika wakitumia pesa zao za kifisadi na tukishasahau wanarejea tena taratibu,mfano wa kina Kitine, lowassa na karibuni Bwana Sumaye atarudi tena ulingoni.Wananchi wameshughulika kuwapigia kura wenye pesa badala ya wenye uwezo wa uongozi.Mkuu Mkandara ikiwa usemalo ni kweli yaani Misingi iliyowekwa na Nyerere ilikuwa ya kama ya miaka ishirini tu basi hakufaa kutuongoza labda hilo ndilo kosa kubwa kuliko yote tuliyopata kuyafanya.Hivyo ulivyovitaja hapo yaani maji na umeme Mwalimu alivirithi hakuvijenga.Mahospitali tulikuwa na dawa moja tu ya malaria ilikuwa Chloroquine akisaidiana na Panadol mchezo umekwisha.Fedha zote ambazo zingetumika kutuendeleza alizipeleka kule Morogoro kwenye kambi za wakumbizi wa ANC.Mwinyi Katufungua macho,Mkapa kaja kutufisidi na huyu tuliekuwa nae sasa hatuna uhakika na dira yake.Nusu ya mafisadi wameshtakiwa wengine G-D knows what will hapen.G-D BLESS US.
THINK TWICE.

SAHIBA.
 
Sahiba,

Sawa mkuu unaweza kunambia ni mali gani na viwanda vipi vilivyotaiofishwa na tumeshindwa kuviendesha!...
Mkuu nina hakika wewe msomi mzuri na huwezi kulaumu vitu tu8 out of blues kama hujaweza kupima..

Misngi iliyojengwa na Mwalimu miaka ya 60 ilikuwa kulingana na mahitaji ya population iliyokuwepo na long plan ya miaka kama 20..Mbali na kushuka kwa uchumi wetu, Nyerere ameondoka madarakani umeme ukitosha kabisa kote Dar na mikoani, maji, afya - Muhimbili mgonjwa husubiri muda mrefu na wagonjwa wote walikuwa wakilala vitandani.. Nenda hata zahanati ndogo za mnazi mmoja huduma ilikuwa nzuri acha huko nenda Ukerewe madaktari walikuwepo na hapakuwa na shida ya huduma za Afya sio leo hii..Kila kitu ni shida tupu hata kama unayo fedha uzima ni swala la kuomba Mungu..

Haya leo hii population yetu imezidi mara nne tuna mabadiliko ya mfumo wa kiuchumi bado unataka kulaumu msingi uliojengwa wakati ule 1960s to70s wakati wanja ni kubwa tosha kwa kuanzisha msingi mpya..tena basi mali za uzalishaji zote mzee wetu alituachia sisi urithi mkubwa wa madini na gas ambazo hazikuguswa!
Mkuu kama nilivyokwisha sema maendeleo ya Tanzania ni sawa mna Maendeleo ya Kariakoo... wazee wetu walijenga misingi midogo ya nyumba ya vyumba sita na tuliishi vizuri kama familia.. Sasa leo kumetokea mabadiriko Kariakoo imeikuwa mji wa biashara, nyumba zile zinabomolewa lakini mabdo malengo ni yale yale Kujenga nyumba inayoweza kutumiak kwa biashara na makazi..

Tunaona mabadiliko ya haraka sana Kariakoo lakini sio kitaifa.. Hii ina maana hata Kariakoo inaanza kutuacha nje kwa sababu sisi wenyewe tumeshindwa kubomoa misingi ya vibanda vya vyumba sita yaani miundo mbinu ilkiyochoka tukitegemea kwamba somehow tunaweza kubanana hivyo hivyo hadi kieleweke!..
Mkuu tuzungumze hapa kama wasomi na sio washabiki kutafuta mchawi nje ya wachezaji wenyewe kuwa refa kapendelea! kwani kunyoosha vidole kwa yaliyopita na kutumia lugha za TUNGE kuwa hivi ama vile haiwezi kusaidia kitu..uchumi wa Tanzania ni mimba pevu hivyo huwezi kuepuka na kusingizia nani alianza kumtongoza mwingine!..Hii ni mwanzo wa kukimbia responsibility!... na bahati nzuri sisi Wadanganyika ni wazuri sana kwa kutafuta mchawi!... NDIVYO TULIVYO!

Mipango gani iliyokuwepo miaka ya 60? Yakupika mabumunda na togwa ???
 
Tumekwama tulipokwama kwa sababu hatujui tulikosea wapi hivyo tunaendeleza old failed politics.

....pheeeeeeeeeeeeewwwww! ...Kila nikijaribu kufikiria tofauti na Nyani Ngabu, jibu linajirudia vile vile 'Miafrika ndivyo ilivyo!'

"the exercise of political power to manage a nation's affairs. . . . It encompasses the state's institutional and structural arrangements, decision-making processes, and implementation capacity, and the relationship between government officials and the public."

kwanini inapokuja kwenye suala la Decision making ndio kimbembe kwetu sie?
img005.jpg

ndio kusema kwenye Decision making za serikali zetu hizi 'wanabisha kila kitu, au wanakubali kila kitu, almuradi yote yanawaepusha na kufikiri' (?)
 
Sahiba,
I am starting by telling you this,We can only move forward if we agree on what went wrong.Tumekwama tulipokwama kwa sababu hatujui tulikosea wapi hivyo tunaendeleza old failed politics.
Mkuu tulifahamu wapi tulikwama na hili sote tunafahamu kwamba ni mfumo wa siasa -UJAMAA..Hapa tupo sote iweje leo tushindwa baada ya kufahamu tuliharibu wapi bado sababu zijengwe around huo huo ujamaa..
Hoja yako haina tofauti kabisa na hoja ya wanasiasa ambao bado leo wanazungumzia Ukoloni au Utumwa wakati sio sisi tuliwekwa utumwani..
Nyerere kwa kuelewa athari za Ukoloni alijenga misingi inayopingana na Ukoloni ktk UTAWALA na ndio maana leo hii wewe upo HURU..lakini inashangaza watu kama nyie mnashindwa hata kunyoosha mikono yenu kumshukuru Mungu kuwa huru...
Awamu ya pili, ilianza kwa sura mpya kuondokana na Ujamaa na mkajenga mikakati inayolenga kuvunja misingi ya Ujamaa, hakuna mtu kati yetu aliyepinga.. Sasa tunapokosea utekelezaji wake tunarudi nyuma kutafuta mchawi.. basi tusiseme ni Nyerere nadhani tulikotoka ni kutawalkiwa na sijui lawama hasa zimfuate nani, Muingereza, Mjarumani Mreno au Mwarabu maanake hawa wote walitutawala wa nyakati tofauti..
Hivi visingizio ni vya mtu aliyechoka na maisha.. ni hulka ya Wadanganyika maanake hata ndugu zetu kutofanikiwa kwao huwalaumu wazazi kwa kutowapa elimu na wakiwa na elimu lakini mambo bado sii mazuri basi itakuwa kwa nini walizaliwa Tanzania..
Upuuzi mtupu.... Tumekosea wapi! tulikosea kuingia Ubepari kichwa kichwa kutupa miiko na maadili ya viongozi tukifikiria kwamba adui wetu mkubwa ni umaskini hivyo tuanze kujitajirisha sisi wenyewe...ndiyo hayo maazimio klama ya Zanzibar.. mbopna mwalimu maazimio yalipokuwa hayafanyi kazi tuliyavunja! iweje leo tunashindwa kuvunja Azimio ambalo linaturudisha utumwani!
Achana Mkapa, huyo Mwinyi kachukua nyumba za msajili wa majumba hapo Dar hazipungui kumi kawapa hadi wajukuu wake majumba ambayo hakuyatolea hata ndululu! bado utasingizia Ujamaa!

Zakumi,
Katika mashirka yote yaliyobinafsishwa sijui elfu 3, asilimia kubwa imejengwa na mwalimu..Ukinunua gari mwaka 1960 lazima uelewe siku moja litakuja kufa hivyo ni muhimu ujiandae kwa miaka ijayo..Yes, mwaka 2009 hilo gari la mwaka 1960 litaonekana kuwa ni la kupikia mabumunda na togwa but still lina thamani kwa wanaojua..sidhani kama ulitegemea Nyerere afikirie sayansi ya utengenezaji magari mwaka 2009 hivyo asubiri hadi teknologia hii itakapo kuwepo!
Tukishindwa kuelewa hivyo basi hapo ndipo tulipo haribu!
 
Mkandara:

Let's face it squarely. Look what's happening around us today. We have a couple of universities, educated citizens and many more. However, the way we handle our current state of affairs doesn't convice me that in 60s, 70s or 80s things were much better than today.

Please, enlight me if I'm wrong.
 
Angalau Kihesa nyumba zinaonekaa kujengwa kwa mpangooooooooo! Lakini hayo mabati! Mwe! Hivi hawaoni kwamba yana kutuuuuuuu?
 
Mkandara:

Let's face it squarely. Look what's happening around us today. We have a couple of universities, educated citizens and many more. However, the way we handle our current state of affairs doesn't convice me that in 60s, 70s or 80s things were much better than today.

Please, enlight me if I'm wrong.

the question to you is this.. are we better today than we were 45 years ago?
 
When was that??? 1964 ??? The year when the Zanzibar revolution took place. The year when United Republic of Tanzania was born.

It seems to me we were much better back then. However, who should take the credits, the British ??? Everything was pretty much colonial leftover or the Geese that lay the golden eggs were still alive.
 
Zakumi,
Let's face it squarely. Look what's happening around us today. We have a couple of universities, educated citizens and many more. However, the way we handle our current state of affairs doesn't convice me that in 60s, 70s or 80s things were much better than today.
..
Simple, it's not about things been much better rather focusing on where we intended to go and work around such goals.. U start with Infrastructure!
Back then infrastructure development was riding high on an economic wave... Records and stats would show that we spend most of Grants and Aids with the record high in major infrastructure developments..
For the past 20 yrs +, all Gov't Strategic Infrastructure Plans for developments approved or underway reached the lowest point til Kikwete formed a ministry of infrastucture..what have we accomplished so far!.... Zero!

Tazama hata barabara ya Morogoro raod, Pugu road au Salender bridge zimejengwa toka miaka ile mkuu wangu hadi leo hii ni barabara za kuaminika,sasa rudi utazame barabara zetu siku hizi utalia na machozi..
Fedha kibao zinatumika lakini barabara zinadumu kiangazi hadi kiangazi!..Huo ndio uafadhali wa miaka ile..
Nitarudia mfano wangu wa awali, wazee wetu walipojenga Kariakoo walifikiria maendeleo ya kariakoo kama sehemu ya makazi yao na ndivyo mwalimu alivyoijenga Tanzania ya wakati ule tupate sehemu yetu huru na uwezo wa kujitegemea.. hivyo plan nzima ilikuwa kulingana na population ya wakati ule na pengine miaka 20 ijayo huku akiacha nafasi ya kujiendeleza zaidi..
Sisi tumekuja chukua mji wa Kariakoo, tumevunja msingi wa nyumba ya vyumba sita na badala ya sisi kujenga nyumba za maghorofa tumeuza viwanja hivyo na kuwapa wageni wajenge maghorofa hayo ili sisi tupange... Mnachohesabu nyie kama maendeleo ni hizo fedha za mauzo ya nyumba hizi wakati hamfahamu kwamba kuna kaka zetu ni mazishi kwanza, halafu pili tumepoteza kabisa kile tulichokuwa tumekusudia kujenga..Huo msingi tutaweza vipi kuujenga wakati tumeuza viwanja vyetu..
Ukielewa hapo nadhani tutaweza kwenda pamoja.. Wakati wananchi hawana mamlaka ya ardhi, mfano mdogo Barricks Gold mkuu wameuziwa ardhi ile kwa marefu ya umri wa madini yaliyomo..Je, unaweza kufikiria au ku plan lolote ktk eneo lao!
 
Last edited:
Mzee Mwanakijiji,
Mimi nitashauri moja tu pamoja na kwamba naelewa ukumbi huu utawaka moto kupingana na mawazo yangu lakini that's the only way kwa mageuzi ya haraka ili kubadilisha jinsi Chimwaga wanavyofanya kazi..

Kutokana na ramli langu namwona Kikwete atachukua tena Urais..kumwondoa itakuwa kazi kubwa na mpya kabisa isipokuwa tunachoweza kufanya ni kutafuta mbinu inayozunguka Urais huo kutokana na katiba yetu...
Njia pekee na rahisi zaidi ni sisi wapinzani kwa vyama tofauti iwe hata Wapinzani ndani ya CCM tuchukue Ubunge wa wilaya karibu zote, hivyo Kikwete hata kama atashinda itambidi achague baraza la mawaziri nje ya mtandao..
Pili, kuna dalili ya Kikwete kuweza kufanya mageuzi na pengine kusikia kilio cha wananchi isipokuwa amebanwa na wabunge wa CCM ambao kwa wingi wao miswada mingi na hoja nyingi zimepigwa chini bungeni..
Nina hakika kabisa kama leo hii bunge lingekuwa na akina Zitto na Dr. Slaa, mama Kiilango, Mwakyembe na wengine wengi tu ikiwa ni pamoja na visiwani..maswala mengi ya ufisadi yangekwisha kabla hata ya mwaka huu kwisha!.. ingemlazimu kufanya yale ytaliyopitishwa na bunge laa sivyo bunge lingekuwa na nguvu ya kumwondoa madarakani kikatiba, Hata Mkapa angesimama kizimbani..
Hivyo maadam tumepata soma mwaka huu, nadhani uchaguzi wa mwaka 2010 inabidi tujiandae ktk UBUNGE kwa sababu hadi sasa hivi nionavyo mimi Kikwete amejijenga vizuri sana kwa Wadanganyika itakuwa kazi kubwa kupambana na Kikwete pamoja na wabunge lakini tukiweza kutenganisha na vita yetu kuiweka sehemu moja ya Ubunge nadhani uwezekano wa mageuzi yote mbeleni ni mkubwa..

Ni mawazo yangu!
 
When was that??? 1964 ??? The year when the Zanzibar revolution took place. The year when United Republic of Tanzania was born.

It seems to me we were much better back then. However, who should take the credits, the British ??? Everything was pretty much colonial leftover or the Geese that lay the golden eggs were still alive.

Zakumi, wakati Waingereza wanaondoka Tanzania ilikuwa na :

Wahandisi wangapi?
Madaktari wangapi?
Shule ngapi -za msingi na sekondari?
Vyuo Vikuu vingapi?
Walimu wangapi?
Barabara kuu za lami ngapi?

na miaka kumi baadaye chini ya Nyerere Tanzania ilikuwa na vitu vingapi hivyo hivyo?

Linganisha miaka kumi ya Uhuru na miaka karibu 70 ya utawala wa wageni?
 
Zakumi,
Hivi mkuu una umri gani au umesimuliwa na mzee wako ambaye hakumpenda Nyerere!..
 
Pili, kuna dalili ya Kikwete kuweza kufanya mageuzi na pengine kusikia kilio cha wananchi isipokuwa amebanwa na wabunge wa CCM ambao kwa wingi wao miswada mingi na hoja nyingi zimepigwa chini bungeni..
Nina hakika kabisa kama leo hii bunge lingekuwa na akina Zitto na Dr. Slaa, mama Kiilango, Mwakyembe na wengine wengi tu ikiwa ni pamoja na visiwani..maswala mengi ya ufisadi yangekwisha kabla hata ya mwaka huu kwisha!.. ingemlazimu kufanya yale yaliyopitishwa na bunge laa sivyo bunge lingekuwa na nguvu ya kumwondoa madarakani kikatiba, Hata Mkapa angesimama kizimbani..

Mkandara,
Umeongea kile ambacho kila Mtanzania anapaswa kukifanya katika uchaguzi ujao. Ni kweli idadi ya Wabunge wa Upinzani ikiwa kubwa Bungeni JK hataweza kuendeleza usanii wake. Wabunge wachache tu wa upinzani waliopo wanamtoa jasho, kukiwa na wengi nchi hii itarudi kwenye njia sahihi. Tusaidie kuwaelimisha wananchi, hasa wa vijijini, wauelewe ukweli huo. Hizo picha zinatuhamasisha tuchague viongozi safi na siyo hawa waliojengeka katika ufisadi.
 
Zakumi, wakati Waingereza wanaondoka Tanzania ilikuwa na :

Wahandisi wangapi?
Madaktari wangapi?
Shule ngapi -za msingi na sekondari?
Vyuo Vikuu vingapi?
Walimu wangapi?
Barabara kuu za lami ngapi?

na miaka kumi baadaye chini ya Nyerere Tanzania ilikuwa na vitu vingapi hivyo hivyo?

Linganisha miaka kumi ya Uhuru na miaka karibu 70 ya utawala wa wageni?

Mwanakijiji:

Hapo ndipo unapopotea. Vitu vyote havifanyiki bila kuwa na resources. Nyerere alivifanya vitu hivyo kwa muda mfupi.

Je resourses alizipata wapi za kusomeshea hao watu??? Unataka kusema wakulima wa kahawa, chai, pamba ndio waliosomesha ???

Kuna watu wanaosema kuwa usomi maana yake ni kuweza kubadilisha mazingira kuliko ulivyo yakuta. Idadi ya wasomi ni kubwa kuliko alioacha
mkoloni lakini hakuna mwenye uwezo wa kubadili mazingira, sasa point ya kusomesha ni nini??
 
Hili ndilo swali ambalo wewe ungelifikiria, kama kwa miaka karibu 40 chini ya Mkoloni Tanzania ilikuwa hivi (x) lakini baada ya miaka kumi tu baada ya uhuru nchi ilikuwa vile..sasa inakuwaje mabadiliko makubwa yametokea ndani ya miaka kumi kuliko arobaini bila kuangalia nafasi, mchango na uwezo wa Nyerere?

Kuna watu wanaosema kuwa usomi maana yake ni kuweza kubadilisha mazingira kuliko ulivyo yakuta. Idadi ya wasomi ni kubwa kuliko alioacha
mkoloni lakini hakuna mwenye uwezo wa kubadili mazingira, sasa point ya kusomesha ni nini??

this is haste generalization.. unaposema hakuna mwenye uwezo wa kubadili mazingira, husemi kweli, kwa sababu walikuwepo watu wenye uwezo wa kubadilisha mazingira na waliweza. Sijui kama unakumbuka masuala ya "kampeni ya Mtu ni afya", mambo ya "Nyumba Bora", n.k Sijui unajua ni kwa kiasi gani tuliweza kuelemisha watu wazima wetu na kuwapa elimu ambayo ilifungua mambo mengi kwao, mambo ya kilimo cha maksai, matumizi ya mbolea (samadi na ya kisasa), ujenzi wa visima vya kisasa n.k

Kuna mambo ambayo yamefanyika kuonesha watu wameweza kuyabadili mazingira yao. Wakati ule tuliweza kufanya mambo haya sisi wenyewe kwa kujituma, na kwa pamoja. Siku hizi bila NGO hakiendi kitu! So are we better today than we were 40 years ago?
 
Mwanakijiji:

Hapo ndipo unapopotea. Vitu vyote havifanyiki bila kuwa na resources. Nyerere alivifanya vitu hivyo kwa muda mfupi.

Je resourses alizipata wapi za kusomeshea hao watu??? Unataka kusema wakulima wa kahawa, chai, pamba ndio waliosomesha ???

Kuna watu wanaosema kuwa usomi maana yake ni kuweza kubadilisha mazingira kuliko ulivyo yakuta. Idadi ya wasomi ni kubwa kuliko alioacha
mkoloni lakini hakuna mwenye uwezo wa kubadili mazingira, sasa point ya kusomesha ni nini??

Well spoken! whose faults is this then? Nyerere aliyefanya lililobora kusomesha watu? au wale waliosomeshwa lakini they do not use their 'brains'

Au unasema Nyerere alipaswa kuwa na uwezo wa kujua/kutabiri kuwa atakaowasomesha hawataweza kubadili mazingira?

Au unasema kuwa asingesomesha kabisa, so taifa letu liwe la wajinga na tusiwe na watu hata wanaoweza kupost-comments kama wewe!

Au hujui kuwa wewe na we ni result ya Nyerere? unless kama umezaliwa na kukua nje ya TZ, wazazi wako hawajuguswa na matokeso ya Nyerere-in other words-utakuwa sio mtanzania!

He did his best parts, he did all for good reasons, though some went wrong........japo amekufa miaka 10 iliyopita still anaonekana amekuacha mbali sana.

wait.....ungekuwa wewe ndiyo Nyerere unapata urais wa kwanza wa TZ,ungefanya nini, ili hali ya leo iwe nzuri
?
 
Last edited:
Zakumi,
Hivi mkuu una umri gani au umesimuliwa na mzee wako ambaye hakumpenda Nyerere!..

Hapa umri sio kitu. Hekima tu. Kuanzisha kitu sio kitu kigumu. Kitu kigumu ni ku-maintain.

Ukiangalia posti za ndugu Mwanakijiji zote zipo kwenye uanzishaji. Katika kipindi cha miaka kumi ya uhuru serikali kwa kusaidiwa na hao hao wakoloni ilianzisha miradi mingi. Lakini hakuna Sustainability ya miradi hiyo.

Tunaviangalia vitu kutoka katika pembe tofauti hapa. Mnaangalia vitu kwa sababu vilianzishwa. Mimi naangalia kuanzishwa na kuendelezwa.

Hivi wahisani wakikata misaada si tutarudi kwenye maisha ya pre-colonial 😕
 
Back
Top Bottom