Nini unachokikumbuka kwa mtu ambaye hayupo leo duniani

Nini unachokikumbuka kwa mtu ambaye hayupo leo duniani

kwanini wazazi wako walikuwa hawakusomeshi?

Hittin Blunts and Bustin Nuts
Baba yangu ndiye aliyewalea wadogo zake na kuwahudumia kwa kila kitu mpaka walipoweza kujitegemea maana baba yao(babu)alifariki wakiwa wadogo so huyu baba yangu mdogo alimuomba kaka yake ampe mtoto mmoja naye amlee mwanzo mwisho maana hakuna namna anayoweza kulipa fadhila so akawa amenichukua mm so from there yy ndiye aliyekuwa responsible na mm kwa kila kitu na kiukweli alinilelea kwa mapenzi mazito sana japo mkewe alikuwa mtihani sana ktk makuzi yangu but nashukuru ninekua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom