Nini unaweza fanya na pesa zilizotumika nunulia mtandao wa Twita takriban Trilioni 102 Tsh?

Hivi Huyu jamaa Overall yake(>$280Bil) hajazidi bajeti yetu kweli???

Any way me niangeanza kula mchana[emoji15

Hivi wakisema budget etu Ni 21 T unadhani wamehesabu Hadi hela yako ya kula ee😁
 
1) Maji safi ya bomba kila kijiji

2) Hospital za kujifungulia akina mama zenye madaktari bingwa wanawake tu kila kijiji

3) Barabara kuu za lami za
kuunganisha kila wilaya nchi nzima

4) International school kila kijiji bila ada...





Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hizo hela Mbususu inakuwa sio kitu cha maana tena sababu zitajileta zenyewe za kila aina. Wala hata bila matumizi makubwa.
 
U
Masikini mbaya sana! Hizi ndiyo akili za wasomi na boda boda wetu very funny/
 
Hivi Huyu jamaa Overall yake(>$280Bil) hajazidi bajeti yetu kweli???

Any way me niangeanza kula mchana[emoji15]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu umenichekesha sana. Anyway mi ningeanza kunywa chai asubuhi
 
Kwahiyo amenunua kwa USD billion 40?!
 
Nitakua nanunua bundle ili niwe na tweet kila dakika...
 
Niwe na mtonyo mrefu hivo nianze kuwaza mbususu aisee.

Hicho hata kwenye mambo ya starehe hakiwezi kua kipaumbele changu coz ni bei chee sana kuzipata na kwasababu unakua na mijiconfidence ya kuzidi unaweza hata usiwe unatumia izo pesa kuwanasa.

Kwanza ni kuwaza unaisaidiaje jamii kwa huo mpunga mrefu lakini pia ulinzi wako binafsi maana binadamu hawana jema.
 
Kwahyo kitu cha thaman kwako ni mbususu tu
 
U

Masikini mbaya sana! Hizi ndiyo akili za wasomi na boda boda wetu very funny/
We are here for funny, skills mbali mbali nk, me unaesema Ni masikini naweza kuwa nimekuzidi kila kitu take care sister
 
Jamii ipi? Kila mtu anapambana na serikali yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…