Nini utofauti kati ya Landcruiser VX na Landcruiser

GX sio Luxury mzee bali ni Limited edition ya Landcruiser! Haina Cosmetics zozote zaidi ya basic feautres tu na inakuwa equipped na rugged suspensions, body on frame form factor. GX ni kwa ajili ya kazi sio kuuzia sura
 
GX sio Luxury mzee bali ni Limited edition ya Landcruiser! Haina Cosmetics zozote zaidi ya basic feautres tu na inakuwa equipped na rugged suspensions, body on frame form factor. GX ni kwa ajili ya kazi sio kuuzia sura
+1
Gx inakuwa ni very standard option with very limited features na Mara nyingi zinakuwa painted white
Na ndio land cruiser yenye Bei nafuu kwenye class yake , Vx pia zimegawanyika Kuna Vx na Vx-R hii ndio nighali zaidi kutoka Toyota , lakini pia Kuna lexus hii ni luxury segment ya toyota singapore , Hawa huwa wanachukua basic body za toyota na kuzi modify kuwa luxury zaidi
 
Hivi hii mikonga ni ya kazi gani mbona magari mengine hayana
Ile mikonga ni extension ya air cleaner , kwa gari za kawaida huwa inakuwa integrated kwenye body ,
Ukiangalia ule mkonga una matundu pale juu ndipo hasa engine inachukua hewa , kwa maana rahisi kabisa gari yenye mkonga unaweza ikavuka Maji hata yakifika usawa wa kioo bila engine kunywa maji,kiufupi ni gari heavy duty
 
Kwenye hizo version kuna moja inaitwa SAHARA model ndio top ya zote in terms of features and price
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…