Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
Watetemeshe manyonyo tu watashinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waiombe msamaha Simba Kwa kupora ubingwa msimu uliopita Kwa mchongoHuu uzi ni maalumu kwa ajili ya kuangalia makosa mbalimbali kama wapi benchi la ufundi lilikosea aidha katika selection ya wachezaji walioanza, au sub au makosa ya wachezaji wenyewe ndani ya uwanja kipi hawakutimiza
Na ipi iwe way forward kwa ajili ya mechi ya mkondo wa pili
Feiso na Azizi hawkucheza leo... nahisi Nabi angewaingiza tungepiga mtu kama ngoma!Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kuangalia makosa mbalimbali kama wapi benchi la ufundi lilikosea aidha katika selection ya wachezaji walioanza, au sub au makosa ya wachezaji wenyewe ndani ya uwanja kipi hawakutimiza
Na ipi iwe way forward kwa ajili ya mechi ya mkondo wa pili
Ni kweli, ila matarajio hayakuwa matokeo haya wengi walitamani Yanga ishinde hapa nyumbani ili mechi ya mkondo wa pili iwe rahisi kwenda makundi kwa maana nyingine matokeo haya siyo mazuri sanahakuna makosa huo ni mpira bro
Ha ha ha haWaiombe msamaha Simba Kwa kupora ubingwa msimu uliopita Kwa mchongo
La sivyo laana
Itaendelea kuwatafuna
Kisinda huyu huyu mnaemuita mpima umri mara hiyo leo kawa sio mchezaji😃Kisinda sio mchezaji kabisa.Morisone Simba walikua wanamtumia dk za majeruhi anakwenda kufanya maajabu Morisone huwa akabi akianza anaipa timu mzigo.
Na hapa ndo mnapofeli,,, we hujui tu hizo unbeaten kuna nguvu kubwa za bahasha zinatumika,Hakuna makosa. Yanga is still unbeaten
Mkuu tusiwasimange wenzetu ha ha tuangalie namna ya kuwasaidiaTatizo la Yanga mashabiki wake wana mdomo sana
Makosa siyo ya leo.Makosa yametengenezwa ili kuuficha uhalisia wa timu.
Kosa la kwanza bahasha kwa waamuzi
Kosa la pili bahasha kwa wachezaji wa timu pinzani. Kosa la tatu bahasha kwa wachambuzi wa mchongo.
Kosa la nne kutoiheshimu Simba
Kosa la tano kutafuta sifa za kijinga unbeaten ya mchongo.
Kosa la sita kufanya mazoezi ya kushangilia badala ya mazoezi ya jinsi ya kufunga
Kosa la saba,kuajiri wachawi wote Tanzania na kuwapa kadi za utopolo ili muifunge Simba.
Msiporekebisha hayo,mashindano ya kimataifa waachieni wengine kama vike Simba na Namungo
Hata kwa Al Hilal mlikuwa na kauli za kishujaa kama hizi lkn kilichowakuta wote mnakijuaYanga tunafuzu
Nyie makolo mtanyamaza tu
Nyie ni wachumba wetu
Tunapakata tukijisikia
Mtaleta malalamiko yenu hapa jukwaani trh 9
Tumbafu makolo minyelo mikia mbumbumbu wote
Yanga wana nafasi ya kufuzu kwa kumtoa Club Africain ikiwa kocha atakuwa Mgunda na watavalisha wachezaji wa Simba jezi za Yanga. Vinginevyo hakuna ushauri utaweza kusaidia.Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kuangalia makosa mbalimbali kama wapi benchi la ufundi lilikosea aidha katika selection ya wachezaji walioanza, au sub au makosa ya wachezaji wenyewe ndani ya uwanja kipi hawakutimiza.
Na ipi iwe way forward kwa ajili ya mechi ya mkondo wa pili.
Mmalizieni Malipo yake ya Usajiri.Kosa ni Mayele, Morson na Kisinda,
Mayele pale kuna tatizo tena sio dogo... Inawezekana kabisa kuna jambo linaendelea kwa Mayele... Yanga wasipoliweka sawa tatizo ni kubwa... Mayele hachezi kwa Morali... Morrison hana uthubutu wowote ni kama vile pandikizi na ujinga mwingi... Kisinda ni kopo hili haina hata haja ya kujadili inaeleweka...
Hatutoboi
ni rahisi sana kuwakosia wachezaji na makocha,lakini kiuhalisia mambo kiwanhani ni magumuHuu uzi ni maalumu kwa ajili ya kuangalia makosa mbalimbali kama wapi benchi la ufundi lilikosea aidha katika selection ya wachezaji walioanza, au sub au makosa ya wachezaji wenyewe ndani ya uwanja kipi hawakutimiza.
Na ipi iwe way forward kwa ajili ya mechi ya mkondo wa pili.
mna ushahidi na hayo msemayo?Makosa siyo ya leo.Makosa yametengenezwa ili kuuficha uhalisia wa timu.
Kosa la kwanza bahasha kwa waamuzi
Kosa la pili bahasha kwa wachezaji wa timu pinzani. Kosa la tatu bahasha kwa wachambuzi wa mchongo.
Kosa la nne kutoiheshimu Simba
Kosa la tano kutafuta sifa za kijinga unbeaten ya mchongo.
Kosa la sita kufanya mazoezi ya kushangilia badala ya mazoezi ya jinsi ya kufunga
Kosa la saba,kuajiri wachawi wote Tanzania na kuwapa kadi za utopolo ili muifunge Simba.
Msiporekebisha hayo,mashindano ya kimataifa waachieni wengine kama vike Simba na Namungo
Tukutane tunisia. Habib habibSimba ni sawa na pombe ya ngomani tu, Yanga wanajichotea tu.