Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwaiyo walinzi wa kati 4 na 5 unaweka vijeba tupu.Nabi akusikie aweke izo defence aone atakavyopasuka chini ya dakika 10 za kipindi cha kwanza.
Kwa kikosi kama hiki, Yanga haiwezi kusumbuliwa na Waarab kamwe; 1. Diarra 2. Juma Shabani 3. Kibwana Shomari, 4. Dickson Job 5. Bangala 6. Aucho 7. Aziz Kii 8. Sure Boy, 9. Mayele, 10. Fei Toto, 11. Farid Mussa!!
Kuna lipi jipya hapo! Mbona mechi nyingi tu wamecheza, ikiwemo ya jana!!kwaiyo walinzi wa kati 4 na 5 unaweka vijeba tupu.Nabi akusikie aweke izo defence aone atakavyopasuka chini ya dakika 10 za kipindi cha kwanza.
Nusu fainal ya fa na ngao wapinzani walinunuliwa pia?"√Muache kununua mechi za ndani, maana huwa mnashindwa kujua madhaifu yenu"
mechi ya jana jamaa walitaka creen sheet tu shughuli rasmi itakua kule Utunisini.Nabi naamini ataweka vijeba kama ulivyoshauri ngoja tutaona kitakachotokea sasa.Kuna lipi jipya hapo! Mbona mechi nyingi tu wamecheza, ikiwemo ya jana!!