Nini yalikuwa makosa katika Mechi ya Leo kwa Yanga dhidi ya Club Africaine?

Waiombe msamaha Simba Kwa kupora ubingwa msimu uliopita Kwa mchongo
La sivyo laana
Itaendelea kuwatafuna
 
Feiso na Azizi hawkucheza leo... nahisi Nabi angewaingiza tungepiga mtu kama ngoma!
 
hakuna makosa huo ni mpira bro
Ni kweli, ila matarajio hayakuwa matokeo haya wengi walitamani Yanga ishinde hapa nyumbani ili mechi ya mkondo wa pili iwe rahisi kwenda makundi kwa maana nyingine matokeo haya siyo mazuri sana
 
Tatizo la Yanga mashabiki wake wana mdomo sana
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga tunafuzu
Nyie makolo mtanyamaza tu
Nyie ni wachumba wetu
Tunapakata tukijisikia
Mtaleta malalamiko yenu hapa jukwaani trh 9
Tumbafu makolo minyelo mikia mbumbumbu wote
 
Utopwolo manyani,yanabweka bweka humu. Kwa uchawi tuu mtaifunga sana Simba
Anibwiten ya mafi
 
Yanga tunafuzu
Nyie makolo mtanyamaza tu
Nyie ni wachumba wetu
Tunapakata tukijisikia
Mtaleta malalamiko yenu hapa jukwaani trh 9
Tumbafu makolo minyelo mikia mbumbumbu wote
Hata kwa Al Hilal mlikuwa na kauli za kishujaa kama hizi lkn kilichowakuta wote mnakijua
 
Yanga wana nafasi ya kufuzu kwa kumtoa Club Africain ikiwa kocha atakuwa Mgunda na watavalisha wachezaji wa Simba jezi za Yanga. Vinginevyo hakuna ushauri utaweza kusaidia.
 
Mmalizieni Malipo yake ya Usajiri.
Bado anadai.
Mkimlipa atafunga magoli ya kutosha huko Tunisia.

Na kuwaingiza Shirikisho
 
ni rahisi sana kuwakosia wachezaji na makocha,lakini kiuhalisia mambo kiwanhani ni magumu
 
mna ushahidi na hayo msemayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…