Nini yalikuwa makosa katika Mechi ya Leo kwa Yanga dhidi ya Club Africaine?

Kwa kikosi kama hiki, Yanga haiwezi kusumbuliwa na Waarab kamwe; 1. Diarra 2. Juma Shabani 3. Kibwana Shomari, 4. Dickson Job 5. Bangala 6. Aucho 7. Aziz Kii 8. Sure Boy, 9. Mayele, 10. Fei Toto, 11. Farid Mussa!!
kwaiyo walinzi wa kati 4 na 5 unaweka vijeba tupu.Nabi akusikie aweke izo defence aone atakavyopasuka chini ya dakika 10 za kipindi cha kwanza.
 
kwaiyo walinzi wa kati 4 na 5 unaweka vijeba tupu.Nabi akusikie aweke izo defence aone atakavyopasuka chini ya dakika 10 za kipindi cha kwanza.
Kuna lipi jipya hapo! Mbona mechi nyingi tu wamecheza, ikiwemo ya jana!!
 
Kuna lipi jipya hapo! Mbona mechi nyingi tu wamecheza, ikiwemo ya jana!!
mechi ya jana jamaa walitaka creen sheet tu shughuli rasmi itakua kule Utunisini.Nabi naamini ataweka vijeba kama ulivyoshauri ngoja tutaona kitakachotokea sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…