Mkuu naomba unisaidie kwa uzoefu wako,Hii hiace hapa chini ushuru bei gani TRA maana naona mtandao wao unasumbua.Achana na surf tafadhali.. Huo ni ushauri wangu.. Surf sio gari inayoweza kuhimili mambo mengi
Jr[emoji769]
Mkuu naomba unisaidie kwa uzoefu wako,Hii hiace hapa chini ushuru bei gani TRA maana naona mtandao wao unasumbua.View attachment 1359895
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mkuu,hata kwa uzoefu tu uwa zinarange ngap hiaceSiko vizuri sana kwenye hilo na sababu ni moja tu... Mamlaka yetu ya mapato huwa hawachelewi kubadili gia anganj
Jr[emoji769]
Mkuu.. Kama ni Hiace ya biashara.. Hakikisha inakuwa na engine ya Diesel.. Hii ya Petrol achana nayo.. Miyeyusho.. Hesabu yake ndogo sana.Mkuu naomba unisaidie kwa uzoefu wako,Hii hiace hapa chini ushuru bei gani TRA maana naona mtandao wao unasumbua.View attachment 1359895
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nisaidie uzoefu wako hapoMkuu.. Kama ni Hiace ya biashara.. Hakikisha inakuwa na engine ya Diesel.. Hii ya Petrol achana nayo.. Miyeyusho.. Hesabu yake ndogo sana.
Nataka ya biasharaMkuu.. Kama ni Hiace ya biashara.. Hakikisha inakuwa na engine ya Diesel.. Hii ya Petrol achana nayo.. Miyeyusho.. Hesabu yake ndogo sana.
Poa.. Ntakutumia link za gari kali uchague mwenyewe moja kati ya hizo.
Nashukuru mkuu, kwa haraka haraka naona prado imeshinda.Chukua hiyo Prado.. Hutajuta.. Ila isiwe imesoma mileage sana.
Kabisa yaan mimi nawaza kuvuta Subaru na athletic yeye anawaza prado iliyotamba miaka ya tisin!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe bado mtoto unanyonyaKabisa yaan mimi nawaza kuvuta Subaru na athletic yeye anawaza prado iliyotamba miaka ya tisin!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilux Surf Ama Maarufu (Mohammed Dewji)
Hiyo Chombo Iko Sawa Sawa, Mtu Kasema Anaishi Barabara Korofi Watu Wanasema Subaru
Kabisa yaan mimi nawaza kuvuta Subaru na athletic yeye anawaza prado iliyotamba miaka ya tisin!!
Sent using Jamii Forums mobile app