Nyamboboy
JF-Expert Member
- Jun 22, 2017
- 362
- 454
Mkuu naomba unisaidie kwa uzoefu wako,Hii hiace hapa chini ushuru bei gani TRA maana naona mtandao wao unasumbua.Achana na surf tafadhali.. Huo ni ushauri wangu.. Surf sio gari inayoweza kuhimili mambo mengi
Jr[emoji769]
Sent using Jamii Forums mobile app