Ninunue gari gani kati ya Prado SX vs Hilux Surf

Ninunue gari gani kati ya Prado SX vs Hilux Surf

Achana na surf tafadhali.. Huo ni ushauri wangu.. Surf sio gari inayoweza kuhimili mambo mengi

Jr[emoji769]
Mkuu naomba unisaidie kwa uzoefu wako,Hii hiace hapa chini ushuru bei gani TRA maana naona mtandao wao unasumbua.
Screenshot_2020-02-16-18-19-32.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa yaan mimi nawaza kuvuta Subaru na athletic yeye anawaza prado iliyotamba miaka ya tisin!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Ask your self why bado magari madogo yanatengenezwa au sports car zinatengenezwa na off road vehicle pia.....kila mtu anamatumizi yake mkuu sasa hiyo athletic itapiga shimo....pia umetaja subaru ni subaru ipi maana hata za mwaka 90 zipo.....


Usilazimishe mtu apende unachopenda kila mtu ana matumizi yake
 
Kuna jamaa yangu alikuwa na surf ilikuwa inamsumbua sana silinda hedi,akapeleka gari kwa mtaalamu wa surf akakutana na surf nyingine 3 zimeloga silinda hedi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom