if u're a family man na ni mutu ya kubeba beba mazaga, chukua hatchbach car.Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Nipo mbele yenu kuwaomba ushauri, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya Toyota Premio na ist. Najua humu wapo wanaomiliki magari haya, naombeni ushauri tafadhali, yote nayapenda.
NB: Ni kwa ajili ya kutembelea siyo, biashara. Mimi si mwandishi mzuri ila naamini nitakuwa nimeeleweka.
Asanteni sana.
Kuna yule Zumaridi akishashiba ubwabwa utasikia anajiita mfalmeHakuna mwanamke anaitwa King, mimi dume mkuu [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
King ZumaridiHakuna mwanamke anaitwa King, mimi dume mkuu [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Mchawi budget. Premio itakua ghali zaidi kuliko IST.
Kama ni gari yako ya kwanza chukua IST tu itakua poa. Ingawa zote engine zitadumu muda mrefu sana ila body la IST litadumu zaidi.
Kumbe ana import. Nikajua anamvua muindi town.IST hashkiki. Bei (total CIF + Tax + port charges) ziko comparable.
Similiki gari lakini nayafuatilia kiasi flani. Napendezwa na premio kuliko ist.
Ist ni nyingi mno unaweza kuwasha ist ya watu ukidhani ni yako. Pia hata comfortability ndani, premio is superior.
Naomben gharama za kufanaya service kwa ist, kuna ist nimeachiwa naofia mafundi watanipiga naomben ABC nielewe ninkias gan na oil gan nzur