Ninunue gari gani kati ya Toyota IST na Toyota Premio?

Ninunue gari gani kati ya Toyota IST na Toyota Premio?

Mkuu huo ni ukubwa wa enjine
1490cc =1.5L
1990/2000cc = 2.0L
1790/1800cc = 1.8L

Ni ukuvwa wa engine kima kenikia na mafuta kinyume utumie cc au mfumo huo
X 1.5L ni kipimo cha nini au inatofautiana na 1.8L katika nn?
 
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Nipo mbele yenu kuwaomba ushauri, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya Toyota Premio na ist. Najua humu wapo wanaomiliki magari haya, naombeni ushauri tafadhali, yote nayapenda.

NB: Ni kwa ajili ya kutembelea siyo, biashara. Mimi si mwandishi mzuri ila naamini nitakuwa nimeeleweka.

Asanteni sana.
Nunua BMW X 7 mkuu ni Bora Zaidi
 
Mkuu huo ni ukubwa wa enjine
1490cc =1.5L
1990/2000cc = 2.0L
1790/1800cc = 1.8L

Ni ukuvwa wa engine kima kenikia na mafuta kinyume utumie cc au mfumo huo
Asante,
 
Sio ist tu yan kwa maisha ya sasa iv chukua gar yenye cc 1290-1500 chukua jamii ya toyota ist, raum, ranx alex huto umiza kichwa juu ya sevis au mafuta. Usichukue jamii nyingine maana kuna voxywagen ina cc 1300 lakini kanakula mafuta sawa na brivenga 😁
Hata premio fuel consumption ipo normal
 
Japo watu wanapend kushaur wengine has wanaao anz kumilka gari la kwanz liwe IST,
Mimi sipingan nao lakin pia nawez kuongezea Gari hili mimi ndio la kwanza lakin naish nalo poa sana Toyota PREMIO x 1.8L comfortable power zaid ukiw na safar mtu awez kukadiria kuw wew ni masikin au tajir pia linatunzka sana

Mtoa mada Go for premio 1.5L/1.8L
Au IST 1.5L

LAKN UNGESEMA MAZINGRA YA MATUMIZ YAKO KAMA UNA SAFAR FULAN NDEFU NA NI MTU WAKUBEBA FAMILIA NA Zaga zaga nenda kwa premio
Pia Premio lina muonekano mzuri zaidi
 
Ipi kati ya X,F na G ina zigzag gear pale kwenye gear knob
 
chukua Corolla Altis

Altis aint for JDM or africa

Hapo ndo utaona utoufauti wa technology

Umeme wa mule haupishani na wajerumani

Kwanza chuma top speed yake 240+km/h

So issue ya maintenance usiichukulie corrolla altis kama hizi corolla polisi[emoji28]
 
kweli mkuu chuma nimeipanda juzi ilikuwa IT dah sio mchezo ikabidi niliposhuka kuangalia ni corola nikajiuliza hii ni corola gani ya hivi? hahah
 
mwenyewe unakili G hujui halafu unasema sio kweli, ni nini ambacho sio kweli hapo?
Nimejenga hoja kwakuw najua kuhus x na F , ikiwa maelekezo yako yapshana na yangu kiuelewa na kuhus G sijui , nikiw najua viwili kuhus ulivyotaja nitofaut mimi nimejenga hoja wew leta maneno yako sasa

Zaid nimesoma huku Google wanamalekezo kuwa
X- Xtreme
F-....
 
Back
Top Bottom