Ninunue gari gani kati ya Toyota IST na Toyota Premio?

Ninunue gari gani kati ya Toyota IST na Toyota Premio?

gari yangu ya kwanza ilikuwa IST 1490cc nikauza nimehamia kwenye PREMIO 1790cc gari ipo poa sana kitu ambacho nashangaa 1790cc iko na fuel efficient kuliko IST ya 1490cc najiuliza au kwasababu gari ni mpya bado
IMG_0792.jpg

IMG_8412.jpg
 
Nimejenga hoja kwakuw najua kuhus x na F , ikiwa maelekezo yako yapshana na yangu kiuelewa na kuhus G sijui , nikiw najua viwili kuhus ulivyotaja nitofaut mimi nimejenga hoja wew leta maneno yako sasa

Zaid nimesoma huku Google wanamalekezo kuwa
X- Xtreme
F-....
nilichokuwa nimeeleza ambacho hakikuwa cha ukweli ni kipi hadi ukasema si kweli??
 
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Nipo mbele yenu kuwaomba ushauri, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya Toyota Premio na ist. Najua humu wapo wanaomiliki magari haya, naombeni ushauri tafadhali, yote nayapenda.

NB: Ni kwa ajili ya kutembelea siyo, biashara. Mimi si mwandishi mzuri ila naamini nitakuwa nimeeleweka.

Asanteni sana.
CHAGUA MWENYEWE

IST==MWANAMKE NA ULIMBWENDE WAKE

PREMIO ==MWANAUME NA UANAUME WAKE
 
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Nipo mbele yenu kuwaomba ushauri, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya Toyota Premio na ist. Najua humu wapo wanaomiliki magari haya, naombeni ushauri tafadhali, yote nayapenda.

NB: Ni kwa ajili ya kutembelea siyo, biashara. Mimi si mwandishi mzuri ila naamini nitakuwa nimeeleweka.

Asanteni sana.
Subaru Forester
 
Back
Top Bottom