Ninunue gari gani kati ya Toyota IST na Toyota Premio?

Ninunue gari gani kati ya Toyota IST na Toyota Premio?

Altis aint for JDM or africa

Hapo ndo utaona utoufauti wa technology

Umeme wa mule haupishani na wajerumani

Kwanza chuma top speed yake 240+km/h

So issue ya maintenance usiichukulie corrolla altis kama hizi corolla polisi[emoji28]
VIPI KWA GOLF MK7 (2013) KUHUSU GHARAMA ZA UENDESHAJI (FUEL CONSUMPTION & MAINTENANCE)?

N.b:Nimevutiwa sana na hii chuma.Around 22m import from Japan mpaka mkononi.
 
Premio zipi hizo ndg, gari ya ndoto yng ni premio.
Nikiiona hata mita 100 naitambua tu kuwa ile ni premio na huwa hainikinai kuiona jinsi inavutia.
Siku nimeiendesha ndo ilipo nihamisha akili kuona hukuna gari medium nzuri zaidi yake.
Hapo unaongelea old model ama new ?
 
Newmodel nilishare picha yake tayari...
New inamaboresho sana ndani ipo very stylish
Ipo comfortable sana ..you feel like driving a car ,zile siti zake ni kama zinakubeba zpo vzuri sana
unapata smooth driving
less fuel consumption
Stability ipo kwenye zile zenye cc kubwa
Zote mzee wangu.! New sijawahi ingia wala kuiendesha. New si hizi exhaust 2.?
Nawaza kama old tamu vile je new model itakuaje!??
 
Newmodel nilishare picha yake tayari...
New inamaboresho sana ndani ipo very stylish
Ipo comfortable sana ..you feel like driving a car ,zile siti zake ni kama zinakubeba zpo vzuri sana
unapata smooth driving
less fuel consumption
Stability ipo kwenye zile zenye cc kubwa
Okay sawa, nafikir ujio wake ni msiba kwa brevis.
Naona zinaongezeka kwa kasi sana mijini.!
 
Nilianza kumilika premio sasa niko kwenye IST(Maisha yameyumba kdgo)

Ushaur wangu..kama unataka comfortability chukua premio..ipo poa sana..sema shida ya premio inafumka sana ma bampa yake..sasa kama unaishi madongo kuinama itakuletea shida...ila all in all premio ni best ktk aspect zote ikowemo Space ndan
 
Kuna utofauti mkubwa kati ya Consumption ya wese kati ya premio na ist ?
 
Back
Top Bottom