Ninunue gari gani kati ya Toyota IST na Toyota Premio?

Ninunue gari gani kati ya Toyota IST na Toyota Premio?

Kwani Toyota Premio ,ukiagiza hadi kufika mkononi mwako unatakiwa uwe na budget ya kiasi ganii kwa sasa?
 
New model
Screenshot_20230331-165352_Gallery.jpg
 
Similiki gari lakini nayafuatilia kiasi flani. Napendezwa na premio kuliko ist.

Ist ni nyingi mno unaweza kuwasha ist ya watu ukidhani ni yako. Pia hata comfortability ndani, premio is superior.
Hahaha kuwasha ya watu? Mbona ata premio ziko nyingi mkuu
 
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Nipo mbele yenu kuwaomba ushauri, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya Toyota Premio na ist. Najua humu wapo wanaomiliki magari haya, naombeni ushauri tafadhali, yote nayapenda.

NB: Ni kwa ajili ya kutembelea siyo, biashara. Mimi si mwandishi mzuri ila naamini nitakuwa nimeeleweka.

Asanteni sana.
Nunua premio
 
Back
Top Bottom