Jemedaree
JF-Expert Member
- Nov 22, 2021
- 676
- 2,024
Mchawi budget. Premio itakua ghali zaidi kuliko IST.
Kama ni gari yako ya kwanza chukua IST tu itakua poa. Ingawa zote engine zitadumu muda mrefu sana ila body la IST litadumu zaidi.
Sina cha kuongeza kama una budget go for premio
Ila jua kuna premio F,G na X engine tofauti
IST ni nzuri pia,will never disappoint you
Spare kila kona,body imenyooka gari iko juu