Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa, nahitaji 4WD ili nisiwe nashindwa kupanda vilima vidogo na topeKwani kuna tofauti kati ya AWD na 4WD?
Yote yana maana moja
😁😁😁😁Nimegundua baadhi ya member huwa WANAJAMBISHA wakijifanya wananunua magari kumbe ni wazushi Tu...
Kuna member mmoja kilasiku kazi yake kuulizia magari kumbe ni mzushi Tu hata Jana amewachosha watu na Subaru au outlander..
Wiki iliyopita alikuwa anaulizia gari la budget ya million 4 wakati miezi miwili ya nyuma alikuwa anahitaj discovery 4
🤣🤣🤣🤣..acheni kutusema matajiri lazima tushtue umaskini.Wanaokuja inbox kutaka hizo gari za SA kumbe yupo zake chini ya mbuyu hana hata mpango unaweza kuwa serious wakati anajua anakupotezea muda tu..
Mazda CX 5 Diesel engine CC 2200 utaenjoy sana kwenye ulaji wake wa mafuta.Hata muonekano wake ni wa kibabe sana.
Sijajua kwenye uimara na upatikanaji wake wa vipuri ukoje.
Kivipi,maelezo ya weakness zao ni muhimu,usije ukawa wewe ni competitor waoGUnia la misumari kaka hilo litakuchana mgongo 😂😂
🤣🤣🤣Nimesema 4WD
Source: Trust me Bro!Watu wanasifia gari kwa muonekano ila ukweli ni kwamba mazda kwenye durability ni uongo linawahi kuchoka sio body sio mashine kumiliki mazda x5 hakuna tofauti na kumili BMW kitu kidogo lazima uite fundi gari zina mashart kama ziliundwa na waganga sisemi ni gari mbaya ila kibongo bongo utawanufaisha tu mafundi wa mitaani leo nimeona mazda X5 namba EHQ inatoa moshi mweusiii bomba la moshi linamwanga vimaji sijui oil. Mwamba namshauri bora akaenda kwenye outlander ama iyo xtrail new model ila kuchukua X5 heri ukanunue toyota vanguard au harrier
Go for vanguardTatizo CX 5 Idadi ya siti na mm nahitaji gari ya siti 7
ractis nyingi zina changamoto ya gear
Au Toyota range cruiserNunua Range ROver Autobiography.
Ondoa x trail hapo! Hiyo maxda cx5 inaanzia 35 millions, outlander gari nzuri kwa budget yako au ningekushauri uchukue kullugerWakuu naleta kwenu wataalamu wa magari ninunue gari ipi Kati ya hizo hapo au nje ya hizo gari nilizotaja bajeti ya yangu ni 25-27m
Kwani passo sio gari, hii gari mimi ni mara ya 2 kuimiliki, nina safari nyungi sana za dar mwanza na huwa naitumia voz kila miezi 3 lazima nisafiri nayo. And kwa wiki mizunguko yangu huwa haipungui 500 kmhizi dalili za roho mbaya kabisa🤣🤣
Vanguard sijawahi kuzielewa na bei zao ni kubwa sanaGo for vanguard
Huku wengi wapo Halmashauri hamna dili zaidi ya ushuru kwenye magulioNimegundua baadhi ya member huwa WANAJAMBISHA wakijifanya wananunua magari kumbe ni wazushi Tu...
Kuna member mmoja kilasiku kazi yake kuulizia magari kumbe ni mzushi Tu hata Jana amewachosha watu na Subaru au outlander..
Wiki iliyopita alikuwa anaulizia gari la budget ya million 4 wakati miezi miwili ya nyuma alikuwa anahitaj discovery 4