Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,067
- 4,434
Nunua mandoline, dunia ya leo gari hazipugwi hendeli, ni umeme kwenda mbele,huwezi kukwepa hiloWatu wanasifia gari kwa muonekano ila ukweli ni kwamba mazda kwenye durability ni uongo linawahi kuchoka sio body sio mashine kumiliki mazda x5 hakuna tofauti na kumili BMW kitu kidogo lazima uite fundi gari zina mashart kama ziliundwa na waganga sisemi ni gari mbaya ila kibongo bongo utawanufaisha tu mafundi wa mitaani leo nimeona mazda X5 namba EHQ inatoa moshi mweusiii bomba la moshi linamwanga vimaji sijui oil. Mwamba namshauri bora akaenda kwenye outlander ama iyo xtrail new model ila kuchukua X5 heri ukanunue toyota vanguard au harrier