Ninunue gari ipi Mazda CX-5, Forester, Mitsubishi outlander,xtrail new moder

Nunua mandoline, dunia ya leo gari hazipugwi hendeli, ni umeme kwenda mbele,huwezi kukwepa hilo
 
Hyo xd engine ipo vizuri sana maana ya kwangu ni XD version hii ni aina ya engine ya Mazda cx-5 ambayo iliboreshwa kuondoa makosa ya miaka iliyopita
 
Rav 4 toleo la kwanza aka rav 4 Massawe ndio gari ya uhakika. Safari popote, haina kuremba
🤣🤣🤣 cjickii kucheka…

Cjui huu upumbavu aliturithisha nani? Unakuta kijana mtanashati anaendesha RAV4 old, gari inasit ngumu km mabench, technology iliopo n gage y mafuta tuu na door unlock

Ukimuuliza, eti ooh durable…. durable my ass?
 
Safari popote ile… ukiamka asubuhi ni kuangalia engine oil iko Poa, coolant, power steering na brake fluid.
Haina mambo mengi
 
Chukua Rav 4 Kili time. Katika hizo gari hapo bora Subaru utakuwa na uhakika wa kuiuza ukichoka ila sio hizo zingine.
 
Binafsi kigezo changu cha kununua gari kwanza uimara, upatikanaji wa spare na mafundi na pili resale value. Mambo ya kununua gari kwa kigezo cha muonekano, uniqueness nimewaachia vijana wa mjini, bado wana ushamba wa magari.
Watu wanachukua vyombo kwa fashion.😂
 
Mkuu Mimi mtu kama huyo namuelewa. Ukiwa unapambana kutafuta gari ya kwanza au chochote, first time, maswali ni mengi sana. Ukichukulia kwamba barabarani anaona magari mengi na kila anayemuomba Ushauri anampatia tofauti. It’s like seeking validation kwa maamuzi yako. Na ukichukulia ni hii pesa yetu ya sa100 ya kuungaunga, namuelewa sana huyo jamaa.
 
Ni Sahihi kabisaa, maana wasiwasi ndiyo Akili siwezi kulaumu sana
 
Wazee wa Mazda CX5 za Diesel sikilizeni hii clip.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…