Bora ununue mpya moja kuliko ununue bajaj chakavu mbili za 3M utalia na unaweza ukaisusa gereji au ukazipaki nyumbani maana utakua umefunga nazo ndoa ya kikristo hautapata mteja wa kumuuziaUmeongea bonge la point, kweli mkoani bajaji used zipo nyingi ukibahatika ya 3M ni kama mpya
Kamanda mkataba wa Bajaji ni miezi 18 sio miaka miwili hili ninauzoefu nalo
Hiyo miaka miwili ni gari.
Usije fuata huu ushauri kwani mafundi watakufanya wewe ndo DECI/Q NET yao ya kuvuna pesa maana hio spana popoteNenda mikoani kanunue bajaji chakavu hata laki 7 aifiki,ilete mjini peleka gereji mburahati huko gharama kuirudisha barabarani haizidi milion 2.
Kwa hiyo ela unapata bajaji 2 na kuziweka barabarani.
Just imagine yourself
Hujapaona alipoandika ni miaka miwili?Kumbe mwaka una siku 730?
Hahaaaaa eti DECI.... ila ni kweli kbs kuna mwamba anapenda sana kununua vyuma chakavu yaani. Tena vile chronic fikiria mtu ananunua Nissan Murrano imepiga shimo huko babati zaidi ya Km 300k.......daily utamkuta garage na overlorry kama yy ndo fundi.... ununuzi wa vyuma chakavu umemfanya afanane na mafundi garage kwa mavazi na tabia. Akinyoosha tu mkono zile kucha unajua huyu fundi.Usije fuata huu ushauri kwani mafundi watakufanya wewe ndo DECI/Q NET yao ya kuvuna pesa maana hio spana popote
Nasisitiza hapa kwenye kuisusa au kuipaki nyumbani.Bora ununue mpya moja kuliko ununue bajaj chakavu mbili za 3M utalia na unaweza ukaisusa gereji au ukazipak nyumban maana utakua umefunga nazo ndoa ya kikristo hautapata mteja wa kumuuzia
Hata mimi nipo pia ndiomana hapo juu nimekuambia inatagemeana na boss mwenyeweMimi nipo Dar na kwa huku nimeambiwa ni miezi 24. Inawezekana inatofautiana kati ya mkoa na mkoa mkuu.
Mkataba ni miaka miwili usishushe hata kidogo, mkataba utakaoingia na dereva uwe na kipengele kwamba kama dereva hajawasilisha hesabu kwa wakati uwe na uwezo wa kumwajibisha mdhamini wake (hii ni muhimu sana maana driver anaweza asilete hesabu kwa wakati ukamfata mdhamini akakwambia “mimi nahusika dereva akikimbia na Bajaj” so utakapotaka kuvunja mkataba baada ya dereva kusumbua sana utaacha hela zako nyingi nyuma).Anyway, hapa Dar nimeambiwa ni 2 years mkuu kwa bajaji mpya na daily ni hy 20k
Mimi nipo Dar na kwa huku nimeambiwa ni miezi 24. Inawezekana inatofautiana kati ya mkoa na mkoa mkuuKamanda mkataba wa Bajaji ni miezi 18 sio miaka miwili hili ninauzoefu nalo
Hiyo miaka miwili ni gari.
Umesaidia sana mkuu. Asante. Vip unaeza kuwa na sample ya mkataba plz kama unaona turudi Pm nikupe email address untumie mkuu.Mkataba ni miaka miwili usishushe hata kidogo,mkataba utakaoingia na dereva uwe na kipengele kwamba kama dereva hajawasilisha hesabu kwa wakati uwe na uwezo wa kumwajibisha mdhamini wake (hii ni muhimu sana maana driver anaweza asilete hesabu kwa wakati ukamfata mdhamini akakwambia “mimi nahusika dereva akikimbia na Bajaj” so utakapotaka kuvunja mkataba baada ya dereva kusumbua sana utaacha hela zako nyingi nyuma)...
Kapiga hesabu za miaka miwili. Hata mimi mwanzo nilidhani kakosea.Kumbe mwaka una siku 730?
Mikataba ukipata watu wanaojitambua hela unapata,chuma unazi-monitor kwa GPS ukiziona mtaani muda ambao siyo elekezi kwenye paper unamuonya dereva akupe sababu ninini kimesababisha sababu hazina point unaizima unaifata ilipo that's why inasisitizwa tafuta watu smart wanaojua ninini maana ya maisha hawa waluwalu watakutia stress.Biashara ya bajaji inalipa Sana kama unafanya mwenyewe na inalipa kidogo Sana Kama ukimkabidhi mtu muaminifu ila ukikutana na mtu mwenye tamaa mwsho inakutia umaskin mtu siku nyingine anapiga bingo had 50 kwa siku alaf anakupa...
Mimi nipo Dar na kwa huku nimeambiwa ni miezi 24. Inawezekana inatofautiana kati ya mkoa na mkoa mkuu
Umesaidia sana mkuu. Asante. Vip unaeza kuwa na sample ya mkataba plz kama unaona turudi Pm nikupe email address untumie mkuu.
Cherahani hazinaga injini mkuu!Hivi bajaji si ndiyo zina engine kama ya cherahani?
Mkuu namimi nahitaji sample ya huo mkatabaNinao mmoja ambao hiki kipengele cha kuweza kumkamata mdhamini sikukiweka mwanzo ila nilipopata changamoto ndiyo nikaujua umuhimu wake,nakutumia pic pm utautazama mfano wake
Sawa, na tumeelewa hivyo. Ila katika original statement yako ulisema hivi ..... "...hivyo kufanya kwa mwaka kuwa 20,000× siku 730=14,600,000..." Nanukuu. Hapo ulibidi useme kwa miaka miwili. Lakini tumekuelewa mkuu.Mkuu nimechukulia siku za mkataba yaani miaka miwili; mwaka mmoja siku 365, miaka miwili siku 730. Hope umeelewa. Na nimefanya hivyo kwa kuwa makipo ni kwa siku ambayo ni 20k.
Mkuu ni GPS ya aina gani hiyo inayo weza kuzima bajaji?Mikataba ukipata watu wanaojitambua hela unapata,chuma unazi-monitor kwa GPS ukiziona mtaani muda ambao siyo elekezi kwenye paper unamuonya dereva akupe sababu ninini kimesababisha sababu hazina point unaizima unaifata ilipo that's why inasisitizwa tafuta watu smart wanaojua ninini maana ya maisha hawa waluwalu watakutia stress.
Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
Nitakupa namba za jamaa yupo Ilala ndiye anayenifungia zangu,natumia app za iTrack na Tracker Home chuma unazima kwa sms tu muda wowote iwe inatembea iwe ime-park.Mkuu ni GPS ya aina gani hiyo inayo weza kuzima bajaji?
Au ni kifaa gani wanakitumia... Naomba kujua.
Shukrani boss.Nitakupa namba za jamaa yupo Ilala ndiye anayenifungia zangu,natumia app za iTrack na Tracker Home chuma unazima kwa sms tu muda wowote iwe inatembea iwe ime-park.
Nakutumia PM mkuu.