Ninunue ipi kati ya Bajaj na Gari kwa biashara ya Bolt

Nasikia kuna mikopo ya bajaj inatolewa bank Inakuwaje hapo

Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
NMB na CRDB wanatoa mikopo ya bajaj,nadhani masharti yao ni elfu 18 kwa siku au laki na26 kwa wiki ndani ya miezi 18,kwa namna hii kama dereva ni wewe mwenyewe itakulipa maana utakua na uhakika wa kuingiza zaidi ya elfu 20 kwa siku ila kama utampa mtu akuletee elfu 20 ailipi,but kiuhakika zaidi tembelea branches za hizo benki kwa kujiridhisha zaidi
 
Ahsante sana.

Back
Top Bottom