Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Wakuu kichwa cha habari chahusika,nataka ninunue moja kati ya hizo gari,ushauri wenu plz based on xperience and technicalities juu ya hizo gari!Asenti!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Totoz napenda ila siendekezi coz hata my yf ni bonge la totozChukua crown kama wewe ni mtu wa heshima,imekaa kiexecutive,lakini kama unapenda totoz chukua mark x,inawavutia sana
Njoo nikupe ATM Card na passwd ukachek salioHuna hela wewe!
uza mark x baki na toyota crown mkuu
Royalle mkuuChukua hiyo Crown achana na Max X, ingawa hujasema Crown toleo lipi?
Lejea kichwa cha habari: Ni nunue ipi kati ya Toyota Crown au Mark X.Hivi kasema anauza......au kauliza anunue ipi kati ya hizo.......
Mkuu nimekukubali,ngoja NA mm cku nikiokota begi la hela Nita Ku PM unipe ushauriMbalamwezi, Crown ziko za versions 14 kuanzia zilipoanza kutengenezwa mwaka 1955. Crown nyingi tunazotumia hivi sasa ni version/kizazi cha 12 (12th Generation) ambazo zimetengenezwa kuanzia mwaka 2003-2008. Ukubwa/uwezo wa Engine unaanzia 2490 (4GR), 2990 (3GR), 3490 (2GR) na 4290 (V8).
Mark X ni mwendelezo wa Mark II na ilikuja kuibadili Verossa ambayo haikufanya vizuri kwenye soko. Mark X ina Engine zenye ukubwa/uwezo kuanzia 2490 (GRX120), 2990 (GRX125) na 3490 (GRX130).
Average consumption ya mafuta ni 8.6 -10km kwa lita moja kutegemea na mazingira (mjini kwenye mijifoleni au nje ya mji/kusiko na mafoleni makubwa), uendeshaji na uzima wa gari kwa ujumla (engine, aina ya tairi, kiasi cha upepo kwenye tairi, wheel balance na alignment).
Ukitaka kuendesha kama Michael Schumacher ndipo utajua kama inabwia au inamwaga mafuta.
Gari zote mbili zina comfortability ya hali ya juu.
Kwa kigezo cha nafasi crown ni spacious zaidi. Chukua crown kutegemea na injini utakayoipenda. The Higher the CC the better the performance.
Wabongo tuna Tabia ya kujibu kabla hata hatujaelewa swaliHivi kasema anauza......au kauliza anunue ipi kati ya hizo.......