Ninunue ipi Toyota Mark X au Crown?

Ninunue ipi Toyota Mark X au Crown?

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,026
Wakuu kichwa cha habari chahusika,nataka ninunue moja kati ya hizo gari,ushauri wenu plz based on xperience and technicalities juu ya hizo gari!Asenti!
 
Chukua hiyo Crown achana na Max X, ingawa hujasema Crown toleo lipi?
 
Crown new model inakufaa nipm nnayo bei 15m yard ina vibali vyote
 
Mbalamwezi, Crown ziko za versions 14 kuanzia zilipoanza kutengenezwa mwaka 1955. Crown nyingi tunazotumia hivi sasa ni version/kizazi cha 12 (12th Generation) ambazo zimetengenezwa kuanzia mwaka 2003-2008. Ukubwa/uwezo wa Engine unaanzia 2490 (4GR), 2990 (3GR), 3490 (2GR) na 4290 (V8).

Mark X ni mwendelezo wa Mark II na ilikuja kuibadili Verossa ambayo haikufanya vizuri kwenye soko. Mark X ina Engine zenye ukubwa/uwezo kuanzia 2490 (GRX120), 2990 (GRX125) na 3490 (GRX130).

Average consumption ya mafuta ni 8.6 -10km kwa lita moja kutegemea na mazingira (mjini kwenye mijifoleni au nje ya mji/kusiko na mafoleni makubwa), uendeshaji na uzima wa gari kwa ujumla (engine, aina ya tairi, kiasi cha upepo kwenye tairi, wheel balance na alignment).

Ukitaka kuendesha kama Michael Schumacher ndipo utajua kama inabwia au inamwaga mafuta.

Gari zote mbili zina comfortability ya hali ya juu.

Kwa kigezo cha nafasi crown ni spacious zaidi. Chukua crown kutegemea na injini utakayoipenda. The Higher the CC the better the performance.
 
Crown ndo heshima mkuu

1225_02_S.jpg

Naamm..
 
Mkuu nimekukubali,ngoja NA mm cku nikiokota begi la hela Nita Ku PM unipe ushauri
 
Back
Top Bottom