malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Ili akiliwa akatrend kwa Milard AyoTafuta odds 2 weka hiya hela itoe 30m
Kwa tope la huku kipindi cha mvua hata simshauri ajeTafuta maeneo ya mbezi luguruni hutakosa.
Inategemea anapata upande upi na umbali upi kutoka lami.Kwa tope huku kipindi hata simshauri aje
Unacho?Kibaha ni pazuri
Viwanja ni mil 5 had 8 unapata kizuri kabisa
Sina ila kma unahitaji nikuunganishe na mtuUnacho?
YapSina ila kma unahitaji nikuunganishe na mtu
na mm naomba uniunganishe naeSina ila kma unahitaji nikuunganishe na mtu
Ni pm nikupemkuu tafadhali,
na mm naomba uniunganishe nae