Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,841
- 17,491
😂😂😂 kama kanjunjuuIli akiliwa akatrend kwa Milard Ayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 kama kanjunjuuIli akiliwa akatrend kwa Milard Ayo
Oha nipe mchongo nipate kiwanja basi cha mil8Kibaha ni pazuri
Viwanja ni mil 5 had 8 unapata kizuri kabisa
Ukiwa tayar nicheckOha nipe mchongo nipate kiwanja basi cha mil8
Pesa ipo kwa mfuko hapaUkiwa tayar nicheck
Ninacho kiwanja kipo kisemvule-kibamba, kina msingi wa vyumba viwili kimoja masters, jiko, sitting room kina ukubwa wa sqm 1200Pesa ipo kwa mfuko hapa
Hamna mnunuzi hapo njaa tu huyoNinacho kiwanja kipo kisemvule-kibamba, kina msingi wa vyumba viwili kimoja masters, jiko, sitting room kina ukubwa wa sqm 1200
Njoo na mil9 tu.
Mawasiliano 0715128827