Ninunue kiwanja sehemu gani ndani ya Dar?

Habari wakuu ñina mpango wa kununua kiwanja Dar ukubwa wa sqm 800 katika maeneo kati ya mbezi, kigamboni chanika chamazi bajeti yangu million 10 au kibaha

Sehemu gani itakua nzuriii ambayo haitakua kushoto kwa muelekeo wa Tanga
Kwenye ramani.
Plot No. 50 bei ni million 8

Plot No. 57 bei ni million 6
0784376888/0744757738
IMG-20230815-WA0003.jpg

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Nenda Mabwepande, ila kwa 10m hupati 800SQM surveyed yenye hati kabisa. Viwanja vingi huko mabwe vilivyokuwa vya uvamizi kwasasa vimepimwa na wananchi wanalipia kidogokidogo mtu akimaliza anapewa hati. Huko unaweza kubahatisha. SQM nasikia wanalipia kati ya 4000 Kinondo hadi 6000 kule NSSF
 
Habari wakuu ñina mpango wa kununua kiwanja Dar ukubwa wa sqm 800 katika maeneo kati ya mbezi, kigamboni chanika chamazi bajeti yangu million 10 au kibaha

Sehemu gani itakua nzuriii ambayo haitakua kushoto kwa muelekeo wa Tanga
Kuna sehemu inaitwa Msumi ni dakika kadhaa kutoka stendi ya Magufuli...Kuna hewa Safi sana...
 
Habari wakuu ñina mpango wa kununua kiwanja Dar ukubwa wa sqm 800 katika maeneo kati ya mbezi, kigamboni chanika chamazi bajeti yangu million 10 au kibaha

Sehemu gani itakua nzuriii ambayo haitakua kushoto kwa muelekeo wa Tanga
Mapinga
 
Back
Top Bottom