Ninunue lori ya kichina 0 KM au Scania used from Saab Scania

Good idea mkuu umempa . Naona siku hizi kuna Scania zinatoka South Korea ni LHD anunue hizo au anunue za Scania za kwa Madiba aende mwenyewe kwenye yard la sivyo atakuja kulia hapa na fake website za Wa Nigeria
Shida ya gari za south ni kodi pia , maana nyingi ni 6x4, kwa 460 kodi inashoot hadi 30milions plus .
Gari iliyosimama kule si chini lya laki 6 hadi 8 rands, bado police crearance na mafuta hadi tunduma ,
Usinunue gari ya south kwenye mtandao, ili uwe salama itakubidi ufanye safari mbili , za basi au ndege ,safari ya kwanza ni kwenda kuona au kuchagua gari, mara nyingi gari zipo gauteng ,pretoria na johanessburg, ukisha chagua sasa ndo unachukua bank details za muuzaji , kama una mtu wa kufanya transfer Tanzania ni poa , la sivyo itakulazimu urudi kufanya transfer ,ndo ukafate chombo, hakikisha gari imekuwa deregistered au ipo kwa jina lako kutoka huko
 
Wachina wajanja sana sit wamefanya isimpe furaha dereva hata kidogo ili awe makini infacts sit za howo hazikupi comfort!
Huo sio ujanja, hiyo ni weakness. Kumchosha dereva na kumfanya atumie akili nyingi na nguvu kunamfanya asiweze tembea umbali mrefu kwa ufasaha. Hakuna kampuni inatengeneza gari na kuiondoa comfortability ikisema ni ujanja, hata vitani hamna kitu kama hicho. Fatigue ya dereva huchangia ajari. Wachina wanatakiwa improvement ya comfort kwenye magari yao.

Kwa OP, nina uhakika kutoka kwa watu sahihi kwamba kampuni yoyote inayoanza hizi kazi ichukue Howo 0 km ianze nazo hazitosumbua kwa rate kubwa kuliko Scania mtumba. Iko hivi, Howo mpya inakupa makadirio sahihi ila Scania mtumba unabet condition yake. Pia Howo zina nguvu, mafuta kidogo na spare parts sio gharama kubwa. Fanya mahesabu kupata return on investment ukiona Howo inakulipa nunua na usihesabie after sales value kwa maana haina guarantee ya kuuzika kwa urahisi. Fanya kama ikishatumika kulingana na lifespan yake inakuwa written off.

Kati ya gari sita nunua Howo nne na Scania used mbili ili upate uhakika nini utafanya kwenye next move.
 
Ushauri mzuri mkuu .
 
Mkuu hizo Howo ni ipi nzuri ni 6 times 4 au 6times 2
 
Mkuu hizo Howo ni ipi nzuri ni 6 times 4 au 6times 2
Tunaita 6 by 4 au 6 by 2, namba 6 ikimaanisha matair sita na by 4 maana yake matairi manne ndo yanatoa msukumo , maana yake hii gari ina double diff, 6by 2 maana yaje gari ina matairi 6 ila mawili ndo yanatoa mzunguko, maana yake hii gari ina difu moja
Mchina hana configurqtion ya 6 by 2 kwenye horse zake
 
Howo inabidi utumie kama big G , ikiisha utamu tupa, usije jaribu kukarabati howo kama imeanza kusumbua.
Hakikisha kutoka upya linafanya kazi za faida ili likianza kusumbua hela yako iwe imerudi. Scania kwa upande mwingine linaweza kukupa second chance na ukatoboa, scania responds to maintanance
 
Dola 80,000 plus , irudi ndani ya miaka 3? Na faida juu?
Inawezekana. Assume apate trip 6 tu kwa mwaka na kila trip iwe dola 8,000 maana yake ana dola 48,000. Mara miaka 3 maana yake ana dola 144,000 kwa miaka 3. Kama akitoa gharama zake maana yake hiyo 80k itakuwa imerudi.
 
Pitia huu uzi pia utajifunza

 
Inawezekana. Assume apate trip 6 tu kwa mwaka na kila trip iwe dola 8,000 maana yake ana dola 48,000. Mara miaka 3 maana yake ana dola 144,000 kwa miaka 3. Kama akitoa gharama zake maana yake hiyo 80k itakuwa imerudi.
Du !!
Kwenda likasi na sulphur kurudi na copper return trip ni dola 16000, trip inaweza kuchujua hadi miezi.miwili,
Unaweza ona ni pesa nyingi sana ila kulaza dola 6000 hiyo trip we kidume, hapo hujapata janga la kuibiwa copper , ikitokea , unarudi na deni la kutosha.
 
Nimeongelea trip sita tu kwa mwaka kiongozi. Na kama upo serious lazima ujipange. In 3 years unauza gari ulishapata hela ya gari mpya na faida juu, unaenda kuanza upya tena.
 
Sina uzoefu wa magari ila naona wafanyabishara wengi wanaoanza biashara za usafirishaji wanaanza na Scania.

Ina mafundi wengi, inatengenezeka na inavumilika.

Matajiri wanamiliki Mchina baada ya kijitosheleza kwenye Scania, Tajiri ana scania za kutosha ndio anaagiza Mchina.
 
Wachina wajanja sana sit wamefanya isimpe furaha dereva hata kidogo ili awe makini infacts sit za howo hazikupi comfort!
Aisew kumbe siti zao Ni nyoko ckujuwa mnk Kuna jamaaa alinifata tubadilishane siti nimpe yangu yeye anipe yake kwa kixingizio kuwa anakwenda masfa na mm Niko mm Niko town Happ Hapo sikumuelewa ila ndio nimegundua hilo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…