Madam vivian original
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 503
- 997
Kwa pesa yangu hiyo naweza agiza gari kweli au niendelee kujichangaUsikubali kununua gari hapa Tanzania yamechakachuliwa sana!....Heri ununue japani kwani specification zinakuwa ni uhakika hakuna ubabaishaji!
Kwa pesa yangu hiyo naweza agiza gari kweli au niendelee kujichanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuwa familia yako ni kubwa pia waweza ifikiria hii gari pichani.vigali vidogo Toyota Ist
Waweza pata hapa nchini, iliyotumika namba B au C.Ninunue showroom au niagize nje, bajet yangu ni M8,
Ahsante mkuu ngoja nijichange ntatudi tena kabla cjafanya maamuzMilioni 8 ni hela ndogo sana kwa kuagiza gari kubwa japan au kununua yard... milioni 8 unapata gari kama noah mkononi kwa mtu yaani imetumika bongo pia...
jichange madam ufike angalau 15 kama unahitaji Noah used ya mjapan... dola kwa sasa ni 2400.. milion 8 ni dola chache sana plus TRA kodi
Noah ni gari lenye usumbufu sana barabarani,trafiki anaweza akapotezea gari zingine ndogo lakni sio Noah,Mfano kutoka dar mpaka Dom utasimamishwa mpaka utahisi umetekwa ndani ya nchi yako , vinginevyo ni gari nzuri,nazungumza kwa uzoefu
Kama Noah model hii ukiongeza kidogo tu katika hiyo hela yako unapata mfano hili linauza 5,200,000 kulinunua Japan+kulibeba hadi dar+ clearing wewe utaongeza gharama za tra tuMtoa mada naona hamja muelewa Noah anayoitaka yeye kama ni new model hata akiagiza Japan haizidi hata 10mln
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuagiza nje ivi ni rahisi Kwa kutumia beforward au kuna staili ingine tuelekezane.Amua moja kati ya mambo mawili.
1. Kama hela yako haiwezi kuzidi 8m, ni bora ukamvua mtu gari unayotaka lakini uchukue muda sana kutafuta ili usije ukabambikiwa gari bovu. Inaweza kuwa hiyo Noah, Spacio au Ipsum au yoyote ile utakayoipenda zaidi.
2. Kama kweli umeamua kujilipua kuagiza ni bora ukasubiri kidogo uongeze hela ujidundulize walau ifike kati ya 13 hadi 15m. Hapo utapata gari nzuri zaidi yenye specifications bora zaidi.
Kuhusu kwenda showroom, ni sawa lakini sina uzoefu nayo. Mimi huwa najilipua naagiza tu nje.
Makampuni yapo mengi sana ingawa be forward,SBT,tradecarview,enhance Japan,trust janapeese vehicle na mengine ndio maarufu kwa huku kwetu, utofauti katika kuagiza kuna makampuni ambayo yenyewe ndio yanauza magari mfano be forward, SBT na kuna makampuni ambayo yenyewe hayauzi magari ila yanatangaza magari utakapolihitaji gari wao watakuunganisha na mwenye gari muelewane mkiafikiana wao watasimamia mauzo kuhakikisha si muuzaji au mnunuzi anadhurumiwa mfano ni tradecarviewKuagiza nje ivi ni rahisi Kwa kutumia beforward au kuna staili ingine tuelekezane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Madam Viviannakuomba umumue Noah hapahapa Tanzania na usichukue hizi New Model km VOXY hutadumu nayo kwa kifupi Bofya hapa Toyota Cars for SaleAhsante mkuu ngoja nijichange ntatudi tena kabla cjafanya maamuzi Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa hapo tu umeshamdanganya Mama wa watu na watanzania,Kama Noah model hii ukiongeza kidogo tu katika hiyo hela yako unapata mfano hili linauza 5,200,000 kulinunua Japan+kulibeba hadi dar+ clearing wewe utaongeza gharama za tra tuView attachment 1053007
Sent using Jamii Forums mobile app
Reference Number:18193091928Make:TOYOTAModel:NOAH AZR60GBody Type:WAGONYear of Manufacture:2009Country:JAPANFuel Type😛ETROLEngine Capacity:1501 - 2000 CCCustoms Value CIF (USD):3,619.00Import Duty (USD):904.75Excise Duty (USD):226.19Excise Duty due to Age (USD):678.56VAT (USD):1,029.94Custom Processing Fee (USD):21.71Railway Dev Levy (USD):54.29Total Import Taxes (USD):2,915.44Total Import Taxes (TSHS):6,706,229.36Vehicle Registration Fee (TSHS):500,000.00TOTAL TAXES (TSHS):7,206,229.36