Madam vivian original
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 503
- 997
Habar wakuu,
Nataka ninunue gari aina ya Toyota Noah, kutokana na familia yangu naona Noah itanifaa SNA kwa matumizi ya nyumbani.
Ila pia nilikua navipenda vile vigali vidogo Toyota Ist ila kutokana na familia yangu kubwa naona haitatosha kubeba watu wengi bora nichukue Noah itapendeza zaid.
Swali langu kwenu wakuu,
Ninunue showroom au niagize nje, bajet yangu ni M8, natamani nipate Noah nzuri yenye muonekano mzuri cjui ndo mnaita new model.
Nisaidien mshauri cjawah miliki gari ndo au gari gani nzuri itanifaa SNA kwa pesa yangu, na iwe ya kubeba watu hata 5 HV kuendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app