Ninunue used au niagize japan

Ninunue used au niagize japan

Madam vivian original

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
503
Reaction score
997
Habar wakuu,
Nataka ninunue gari aina ya Toyota Noah, kutokana na familia yangu naona Noah itanifaa SNA kwa matumizi ya nyumbani.

Ila pia nilikua navipenda vile vigali vidogo Toyota Ist ila kutokana na familia yangu kubwa naona haitatosha kubeba watu wengi bora nichukue Noah itapendeza zaid.

Swali langu kwenu wakuu,
Ninunue showroom au niagize nje, bajet yangu ni M8, natamani nipate Noah nzuri yenye muonekano mzuri cjui ndo mnaita new model.

Nisaidien mshauri cjawah miliki gari ndo au gari gani nzuri itanifaa SNA kwa pesa yangu, na iwe ya kubeba watu hata 5 HV kuendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikubali kununua gari hapa Tanzania yamechakachuliwa sana!....Heri ununue japani kwani specification zinakuwa ni uhakika hakuna ubabaishaji!
 
Noah ni gari lenye usumbufu sana barabarani,trafiki anaweza akapotezea gari zingine ndogo lakni sio Noah,Mfano kutoka dar mpaka Dom utasimamishwa mpaka utahisi umetekwa ndani ya nchi yako , vinginevyo ni gari nzuri,nazungumza kwa uzoefu
 
vigali vidogo Toyota Ist
Kwa kuwa familia yako ni kubwa pia waweza ifikiria hii gari pichani.

Toyota ipsum
- Inabeba watu saba (7), inakidhi mahitaji kwa familia kubwa ya watu 7
- Ina nguvu na ni bora zaidi ya IST
1553213611487.png

Ninunue showroom au niagize nje, bajet yangu ni M8,
Waweza pata hapa nchini, iliyotumika namba B au C.

Kwa kuagiza nje ya nchi - Inatakiwa ujipange upya na uongeze hiyo bajeti.
 
Mkuu chukua hata spacio yenye seat 7 achana na noah ni gari ambazo kwa sasa zimepitwa na wakati afadhali hata toyota aphad japo cc zake kubwa
 
Milioni 8 ni hela ndogo sana kwa kuagiza gari kubwa japan au kununua yard... milioni 8 unapata gari kama noah mkononi kwa mtu yaani imetumika bongo pia...

jichange madam ufike angalau 15 kama unahitaji Noah used ya mjapan... dola kwa sasa ni 2400.. milion 8 ni dola chache sana plus TRA kodi
 
Ahsante mkuu ngoja nijichange ntatudi tena kabla cjafanya maamuz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada naona hamja muelewa Noah anayoitaka yeye kama ni new model hata akiagiza Japan haizidi hata 10mln
Noah ni gari lenye usumbufu sana barabarani,trafiki anaweza akapotezea gari zingine ndogo lakni sio Noah,Mfano kutoka dar mpaka Dom utasimamishwa mpaka utahisi umetekwa ndani ya nchi yako , vinginevyo ni gari nzuri,nazungumza kwa uzoefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amua moja kati ya mambo mawili.
1. Kama hela yako haiwezi kuzidi 8m, ni bora ukamvua mtu gari unayotaka lakini uchukue muda sana kutafuta ili usije ukabambikiwa gari bovu. Inaweza kuwa hiyo Noah, Spacio au Ipsum au yoyote ile utakayoipenda zaidi.

2. Kama kweli umeamua kujilipua kuagiza ni bora ukasubiri kidogo uongeze hela ujidundulize walau ifike kati ya 13 hadi 15m. Hapo utapata gari nzuri zaidi yenye specifications bora zaidi.

Kuhusu kwenda showroom, ni sawa lakini sina uzoefu nayo. Mimi huwa najilipua naagiza tu nje.
 
Kuagiza nje ivi ni rahisi Kwa kutumia beforward au kuna staili ingine tuelekezane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuagiza nje ivi ni rahisi Kwa kutumia beforward au kuna staili ingine tuelekezane.

Sent using Jamii Forums mobile app
Makampuni yapo mengi sana ingawa be forward,SBT,tradecarview,enhance Japan,trust janapeese vehicle na mengine ndio maarufu kwa huku kwetu, utofauti katika kuagiza kuna makampuni ambayo yenyewe ndio yanauza magari mfano be forward, SBT na kuna makampuni ambayo yenyewe hayauzi magari ila yanatangaza magari utakapolihitaji gari wao watakuunganisha na mwenye gari muelewane mkiafikiana wao watasimamia mauzo kuhakikisha si muuzaji au mnunuzi anadhurumiwa mfano ni tradecarview

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante mkuu ngoja nijichange ntatudi tena kabla cjafanya maamuzi Sent using Jamii Forums mobile app
Madam Viviannakuomba umumue Noah hapahapa Tanzania na usichukue hizi New Model km VOXY hutadumu nayo kwa kifupi Bofya hapa Toyota Cars for Sale
zipo Noah za bei ya milioni 8 zipatazo 53 unachotaiwa ni kumpigia mmiliki wa gari namba zipo hapohapo na si Dalali kabisa, PATANA NAYE SISI HATUPO
Chagua zaidi Noah Townace au Noah Liteace zipo mpaka 6m
 
Kama Noah model hii ukiongeza kidogo tu katika hiyo hela yako unapata mfano hili linauza 5,200,000 kulinunua Japan+kulibeba hadi dar+ clearing wewe utaongeza gharama za tra tuView attachment 1053007

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa hapo tu umeshamdanganya Mama wa watu na watanzania,
kwa Calcuation zako tu atalinunua hilo VOXY kwa Milioni 12 na zaidi halafu huo mgari nahisi unavutia mbele badala ya Diffu
kwa hesabu za TRA JAZA FOMU YAO HII /INGIA / BOFYA HAPA Used Motor Vehicle Valuation System - Used Motor Vehicle Valuation System
bado dola imepanda
nakupa copy ya gari yako ya 5.2m huko Japan bado freight clearing nk sasa ongeza za TRA 7.2M = 12.4M bado mengine
mfano ---- You are viewing Valuation Details of a 2009 TOYOTA NOAH AZR60G - WAGON.
Reference Number:18193091928Make:TOYOTAModel:NOAH AZR60GBody Type:WAGONYear of Manufacture:2009Country:JAPANFuel Type😛ETROLEngine Capacity:1501 - 2000 CCCustoms Value CIF (USD):3,619.00Import Duty (USD):904.75Excise Duty (USD):226.19Excise Duty due to Age (USD):678.56VAT (USD):1,029.94Custom Processing Fee (USD):21.71Railway Dev Levy (USD):54.29Total Import Taxes (USD):2,915.44Total Import Taxes (TSHS):6,706,229.36Vehicle Registration Fee (TSHS):500,000.00TOTAL TAXES (TSHS):7,206,229.36
 
Back
Top Bottom