Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Baiskeli, Pikipiki, Khanga , tisheti na kofia mligawiwa kama njugu.
Mkakataa waziwazi kiongozi wenu. Mkasombwa, maloli matrekta na matela ya punda kujaza mikutano.
Leo hii mnatumia hizo baiskeli na pikipiki kwa shughuli zenu huku kumbe hamumtaki kiongozi wenu. Mnajisikia vipi?