Ninyi wadada mnawaamini vipi wapenzi wanaowafatilia kwa kila kitu?

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,249
Reaction score
1,813
Eti haka ka app mnakowekewa na wapenzi wenu mkikagundua vipi mnaendelea na penzi?
 
Jibu ni ndio penzi linaendelea vizuri tu, wengine simu zimebandikiwa camera kabisa kwenye screen kwahiyo kila unachofanya katika simu kinarekodiwa😅
 
Namatafuta mjuzi anayeweza kuhack simu ya mpenzi. Anajidai ananipenda sana na nakula peke yangu. Nataka kujirishisha kabla sijam upgarde kwenda hatua nyingine.
 
Aya bana
 
Ukimchunguza sana bata hautamla
 
Ukimchunguza sana bata hautamla
Kuna ubaya wowote kujiridhisha na mwenendo wa mpenzi unayetaka kum upgarde? Mbona ukitaka kununua kiwanja unajirishisha ardhi au hata serikali ya mtaa kuona uhalali? Kwa nini isiwe kwa mtu unayetaka kuingia naye kwenye maisha ya kudumu.
 
Kujiridhisha ni muhimu hasa kwenye mambo ya msingi kama tabia ila sasa isiwe too much hadi kutaka kujua kila anachofanya.
Imani inahitajika zaidi otherwise utaachana na kila mtu utamuona hafai
 
Mkuu kuna tofauti kati ya tabia ya mtu na kile anachifanya? Binafsi naona tabia ya mtu ndiyo ina determine afanye nini?
 
Kama Kuna binti ukimtumia message yeye hajibu ila anapiga hapo we jiongeze yaani tafuta mwingine.

Nimeandika tu
 
Back
Top Bottom