nexus white
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 210
- 81
Kwanza wanajitahidi na kujituma katika kazi zao za muziki, lakini wana mapungufu ambayo ni vema wayarekebishe.
Katika nyimbo zao wanakera kwa kuweka maneno ambayo yanachukua sehemu kubwa na pia hayana maana yoyote ile, utasikia baba kayla, baba kayla na pia utasikia pozi kwa pozipozi kwa pozi ni yule yule super handsome.
Ommy dimpoz na Shetta badilikeni