Ninyi wasanii badilikeni

Ninyi wasanii badilikeni

nexus white

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
210
Reaction score
81
Kwanza wanajitahidi na kujituma katika kazi zao za muziki, lakini wana mapungufu ambayo ni vema wayarekebishe.

Katika nyimbo zao wanakera kwa kuweka maneno ambayo yanachukua sehemu kubwa na pia hayana maana yoyote ile, utasikia baba kayla, baba kayla na pia utasikia pozi kwa pozipozi kwa pozi ni yule yule super handsome.

Ommy dimpoz na Shetta badilikeni
 
hahaha,mkuu nimecheka sana hapa nilipo ndo wanapiga hako kanyimbo..
 
Mie ndio baba kayla na wewe ni mama kayla.Chezea kwenda na vina wewe?
 
Baba Kayla mama Kayla..pozi...kwa..pozi...kwel vina vimewekwa mizan
 
Hivi hawana vipaji vingine ukitoa kuimba..sababu vina vimeisha kilichobaki ni kuimba ujinga
 
Yani hao watu siwapendi mimi,huyo sheta hawezi kuimba bila collabo huyo dimpoz amshukuru sana Bella la sivyo tungemsahau
 
Back
Top Bottom