suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,073
Kwahiyo ulishapata demu?Pole sana aisee nishawai pitia iyo issue
Kimsingi wanawake siyo wengi Kama wengi wanavyodai .. kwakua siyo kila mwanamke niwakutongoza ..
Kuna wake zawatu.. Kunawalio kuzidi umri ... Kuna wadogo kabisa ambao siyo size yako ..