George Barran
JF-Expert Member
- Sep 2, 2015
- 647
- 1,268
Kwamba anacosentrate Sana coKosa kubwa unalofanya ni kutafuta mchumba kama unatafuta kazi. Ishi utakutana nae mbele kwa mbele. Mimi nilikutana nae kwenye daladala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba anacosentrate Sana coKosa kubwa unalofanya ni kutafuta mchumba kama unatafuta kazi. Ishi utakutana nae mbele kwa mbele. Mimi nilikutana nae kwenye daladala.
Sana.Kwamba anacosentrate Sana co
Kwaiyo kutafuta mchumba imekua kazi ya ovyo ? au wew niwale wakununua Malaya ?Nchi yetu kadri siku zinavyo songa mbele ndiyo vijana wa hovyo wanaongezeka badala ya kupungua
Kuna mda wakazi namda wa mapenzi .. unataka afe kwa depression ?Huna kazi ya kufanya nyingine zaidi ya hiyo..!?
Dah! Mbona mnatumia njia ya kuzunguka hivi!! Mnakwama wapi naona hampo seriousKama una kipato kidogo jaribu kulifanya hilo suala serious kidogo, tenga bajeti kwaajiri ya hilo jambo.
Stand ndio sehemu yenye type zote za wanawake jaribu kwenda kilasiku stand asubuhi ndani ya muda uleule utamng'amua mmoja tu kulanae sahani moja.
Toka mida ya jioni saa 11 tembea tembea ukiona type yako ivae bila aibu, ukitanya hivyo Consistent ndani ya Week hutakuwa single tena.
Mikuna mmoja nishamnoti stand sasa ndio mission yangu deadline Week tu lazima nimuingie.
Wanawake wengi sna ila wengi hawajitambui wanataka kufeki maisha ..
Udhuurua sna kanaisani Mara kwa maraa alfu utamnoti mtu ambae sababisha iwe. Rais Kila ibada usikoze kumsalimiaa...na bla bhla zinginea au misiba udhuria tu ukosi pia uko wengi siku hz wanawake wanaenda misibani kutafuta mabwam
Wanawake wengi sna ila wengi hawajitambui wanataka kufeki maisha ..
Udhuurua sna kanaisani Mara kwa maraa alfu utamnoti mtu ambae sababisha iwe. Rais Kila ibada usikoze kumsalimiaa...na bla bhla zinginea au misiba udhuria tu ukosi pia uko wengi siku hz wanawake wanaenda misibani kutafuta mabwam
Jaribu kutembelea kivukoni kwenye pantoni mara kwa mara, ukipata chaguo la moyo njoo uishukuru JF kwa kukupatia jiko 😊😊Wakuu wa MMU habari za sasa,
Mimi kijana wenu, nimejaribu kazini, mtaani, stendi(huku wapo ila kila mtu busy) lakin wapi.
Labda mnisaidie maeneo gani nitakutana nao.
Wakati mwingine natoka Geto natembea tembea lengo nikutane na mdada anaenifaa nimpe ya moyoni, naishia kukutana na wake za watu na wanafunzi.
Mfano hadi sasa sina hata demu.
Mnisaidie mwenzenu upweke unanitesa.
Umri wangu ni 26.
Asante sana mkuuPole sana aisee nishawai pitia iyo issue
Kimsingi wanawake siyo wengi Kama wengi wanavyodai .. kwakua siyo kila mwanamke niwakutongoza ..
Kuna wake zawatu.. Kunawalio kuzidi umri ... Kuna wadogo kabisa ambao siyo size yako ..
Af Kuna wale ambao ni saiz yako ila siyo type yako .. apa either Dem ni classic Sana kukuzidi even though ni saiz yako
Au wew ni classic Sana kias uwezi date girl type flani ata Kama ni age sawa na yako
Af Kuna wale ambao ni saiz yako nani type yako pia ila .. unaenda kuchukua number then Dem anakunyima au anakwambia ana mtu ..
Unawezaona how hard it's to get a girlfriend of ur dream
Haya unapata Dem mwengine ni size yako pia ni type yako .. ila mkashindwana tabia
Mitazamo ikapishana au ukaona tu amuendani mkaachana
Ukiwa kijana unaeishi ghetto unaweza kulia .. utapata depression ya kiwango cha lami .. ila ukiwa kwenu uweziona ugumu Sana maana ukirudi nyumbani unakuta home Kuna watu wakupiganao story utacheka utafurai nk..
Mimi Kuna kipindi nilikuw nalala adi kwenye coach ....Kitanda nakiona kigumu hatar
Me ata nikiwa na Ela kias gani nikiwa Sina kadem kakunituliza ma stress yangu either ata kuongea nae kwenye sim au ku meet nae naonag izo Ela azina umuim wowote .. mahana usiku stress zikizid naweza nikaenda kukesha bar na uko bar Kuna madhara kibao ..
In short usikate tamaa endelea kutafuta tu usitembee tembee Sana mtaani .. me zamani nilikuw naenda kweny viwanja vya mitaani vya michezo nazuga nahngalia mpira uku macho yapo kwenye vinjia vinavyo katiza kweny huo uwanja akipita Dem nitakae muelewa naondoka nae .. kesho pia ivyo ivyo .. .
Ukitembea mitaani unawezajikuta upo Kenya na hujapata Dem [emoji2]
Ahhaaa midem kibaooo....hapa nipo sehem inapita pita tu wanasubiri hisaniHao wanafunzi kama ni wa chuo komaa ila kama ni miaka 30 acha, unaishi wap huko mkuu kwa hii population ya wanawake ilivyo juu alafu huwaoni? Ushauri wangu usiwe too much selective
Dah Dunia tamuu hii.Nahis ni mimi mkuu
Wapo wengi mno alafu kuna mtu anateseka kuwapataAhhaaa midem kibaooo....hapa nipo sehem inapita pita tu wanasubiri hisani
Njoo nikugawie mmojaWakuu wa MMU habari za sasa,
Mimi kijana wenu, nimejaribu kazini, mtaani, stendi(huku wapo ila kila mtu busy) lakin wapi.
Labda mnisaidie maeneo gani nitakutana nao.
Wakati mwingine natoka Geto natembea tembea lengo nikutane na mdada anaenifaa nimpe ya moyoni, naishia kukutana na wake za watu na wanafunzi.
Mfano hadi sasa sina hata demu.
Mnisaidie mwenzenu upweke unanitesa.
Umri wangu ni 26.
Hallelujah hallelujah 😂Dah Dunia tamuu hii.
Kuna raia WANAFAIDII..
Naweza kuja PM?!!
#YNWA